Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Bado napokea KAZI,ili kesho usiku ratiba ipangwe,wewe ambaye una mpango wa kwenda sijui LOAN BOARD,TAMISEMI au kokote,kama huna ulazima wa kuja Dodoma,usisite kuwasiliana nami kwa namba tajwa kwenye bandiko.Karibuni.
Skia, 2019 nilipokuwa UDOM nilifanya usajili kupata kitambulisho cha nida/taifa ila mpaka naondoka mpaka leo hii sijapata kitambulisho mana niko mbali na Dodoma na siwezi kuja kwa ajili ya kuchukua kitambulisho tuu.
Nataka ufatilie hy ishu nikipate kitambulisho changu
 
Skia, 2019 nilipokuwa UDOM nilifanya usajili kupata kitambulisho cha nida/taifa ila mpaka naondoka mpaka leo hii sijapata kitambulisho mana niko mbali na Dodoma na siwezi kuja kwa ajili ya kuchukua kitambulisho tuu.
Nataka ufatilie hy ishu nikipate kitambulisho changu
Usijali,nipigie,baadae niende Iyumbu ofisini nikakuchukulie,maana vimelundikwa mle ofisini ila ntaanza kukuangalizia kwanza pale ofisi ya kata ya Nghonghona,nikikikosa ndo ntaenda Iyumbu.Kwanini Iyumbu,kwasababu chuo kipo ya kata ya Iyumbu,hivyo possibility ya baadhi ya vitambulisho kuwepo kule,ni mkubwa.Nipigie.
 
Naomba kutoa ushuhuda kuhusu mtoa mada.
Sema ukweli, jamaa ni mwaminifu sana, nilikuwa na shida ya kitambulisho changu kilichokuwa Dodoma na niliongea na kuelewana nae.

Jana akanitumia kitambulisho na leo hii usiku nimekipata.

Naomba kwa niaba yake, kwa mtu mwenye shida ya kwenda Dodoma ni bora kuwasiliana na jamaa, mana hata gharama zake ni nyie wawili ndio mnapanga gharama bila shaka hamuwezi kushindwana.

Bro chitoholi endelea kuwa mwaminifu hvy hvy hata kwenye ishu kubwa kubwa.
 
Ok nta-upload picture usijali.
Kwa wanaonitumia hakuna hata mmoja,niliyemvunjia uaminifu.Niko kwenye process za kujisajili pia,Brela.Asante.
Ndugu,

Ushauri:
Jiite / iite:
Dodoma Messengers

Tafuta vitu sio zaidi ya viwili vya ku deal navyo vikutambulishe:

Kwenye Database yetu - tunakutambua kama mtu wa viwanja, kutafuta wapangaji maeneo ya Dodoma pia ni messenger.

Shikilia moja yenye big returns ama mbili kama back up maisha ya bongo ndivyo yalivyo; then endelea kukua mdogo mdogo.

- anzisha stationery yako -

Tunafanya kazi na wewe bila wewe kujua. Ni vema ukatusaidia tujue tunakutambua una deal na nini haswa?

FOR SALE - mtandao mkubwa wa Dealers (wauzaji, wanunuzi & wafuatiloaji) wa biashara mbalimbali

- FOR SALE -
 
Back
Top Bottom