Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

Vp mkuu ni makampuni gani mazuri kuweka ads kwenye website na niproject gani mzuri kufanyia practice kwa new web developer
Google.....

Na program yao ya Google AdSense ndiyo program bora ya matangazo kuitumia kwenye website yako

Consider Google kama search engine ina dominate Market share ya Search engines ikifatiwa kwa mbali na Microsoft Bing,Baidu na Yahoo

So let us go with Google AdSense

Na kuhusu beginners web project
Jifunze jinsi ya Ku develop full crud web application

"Crud" ni fancy term tunayoitumia inayo represent web application ambayo inampa user uwezo Wa Ku "Create" (C), Ku "Read" (R) , Ku "Update" (U) na Ku "Delete" records

Asimilia kubwa ya vitu unavyoweza Fanya hapa Jamiiforums(kama Crud web application) ni hivyo

Katika kujufunza hivyo,utajua jinsi gani unaweza Ku deal na mahusiano kati ya tables za database yako

Mfano mahusiano kati ya users table na posts au comments tables

Ku summarize,jifunze Ku develop simple online shop yenye "users" , "admin" , "products" na "orders"

Karibu
 
Uje mkuu nikupe hosting; package na size unayotaka
 
Teh Fafanua
Nawaza tu kuwa na app ya betting inayotoa mikeka ambayo lazima ikubali, hapo unakusanya raia za kutosha wanalipia kupata hio mikeka, lazima kampuni za mhindi zikimbie mji
 
Nawaza tu kuwa na app ya betting inayotoa mikeka ambayo lazima ikubali, hapo unakusanya raia za kutosha wanalipia kupata hio mikeka, lazima kampuni za mhindi zikimbie mji
Njia zipi unazitumia au utazitumia?
 
Back
Top Bottom