Vp mkuu ni makampuni gani mazuri kuweka ads kwenye website na niproject gani mzuri kufanyia practice kwa new web developer
Google.....
Na program yao ya Google AdSense ndiyo program bora ya matangazo kuitumia kwenye website yako
Consider Google kama search engine ina dominate Market share ya Search engines ikifatiwa kwa mbali na Microsoft Bing,Baidu na Yahoo
So let us go with Google AdSense
Na kuhusu beginners web project
Jifunze jinsi ya Ku develop full crud web application
"Crud" ni fancy term tunayoitumia inayo represent web application ambayo inampa user uwezo Wa Ku "Create" (C), Ku "Read" (R) , Ku "Update" (U) na Ku "Delete" records
Asimilia kubwa ya vitu unavyoweza Fanya hapa Jamiiforums(kama Crud web application) ni hivyo
Katika kujufunza hivyo,utajua jinsi gani unaweza Ku deal na mahusiano kati ya tables za database yako
Mfano mahusiano kati ya users table na posts au comments tables
Ku summarize,jifunze Ku develop simple online shop yenye "users" , "admin" , "products" na "orders"
Karibu