Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jerry Silaa kazi maalumu yule!!Ila niseme ukweli nchi imeoza, inahitaji watu Kama akina Jerry Slaa.
Sasa wapo kwa ajili ya loopholes,!? au wapo kwa ajili ya kutenda na kusimamia haki !? Tafakuru!!Hawa wanaweza kufanya hivyo sababu kuna loop holes za kutosha kwenye sheria. They know this
Taasisi zipo na ziliwekwa na Big Ben akiwa Rais wa Tanzania, sema watu waadilifu kwenye hizo Taasisi ni wachache sana! Ndiyo maana inabidi tuzalishe faster akina Jerry Silaa wengi!!Haya ndio mapungufu tuliyonayo sisi waafrika.
Tunajenga watu badala ya taasisi.
Tutachelewa sana.