G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Jun 12, 2024 #21 Wanapaswa kutengeneza mifumo ya kuondoa kero, siyo kuzunguka na microphone kutatua kero. Hizo ni kiki tu. Una taarifa kwamba wale wote ambao Makonda akipata kiki kwa kuwatumbua akiwa mwenezi wapo kazini?
Wanapaswa kutengeneza mifumo ya kuondoa kero, siyo kuzunguka na microphone kutatua kero. Hizo ni kiki tu. Una taarifa kwamba wale wote ambao Makonda akipata kiki kwa kuwatumbua akiwa mwenezi wapo kazini?
MtuloBM JF-Expert Member Joined Feb 26, 2020 Posts 595 Reaction score 555 Jun 12, 2024 #22 Hii nchi wapumbavu mpo wengi sana
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Jun 13, 2024 #23 econonist said: Ila niseme ukweli nchi imeoza, inahitaji watu Kama akina Jerry Slaa. Click to expand... Jerry Silaa kazi maalumu yule!!
econonist said: Ila niseme ukweli nchi imeoza, inahitaji watu Kama akina Jerry Slaa. Click to expand... Jerry Silaa kazi maalumu yule!!
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Jun 13, 2024 #24 Detective J said: Hawa wanaweza kufanya hivyo sababu kuna loop holes za kutosha kwenye sheria. They know this Click to expand... Sasa wapo kwa ajili ya loopholes,!? au wapo kwa ajili ya kutenda na kusimamia haki !? Tafakuru!!
Detective J said: Hawa wanaweza kufanya hivyo sababu kuna loop holes za kutosha kwenye sheria. They know this Click to expand... Sasa wapo kwa ajili ya loopholes,!? au wapo kwa ajili ya kutenda na kusimamia haki !? Tafakuru!!
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Jun 13, 2024 #25 Stroke said: Haya ndio mapungufu tuliyonayo sisi waafrika. Tunajenga watu badala ya taasisi. Tutachelewa sana. Click to expand... Taasisi zipo na ziliwekwa na Big Ben akiwa Rais wa Tanzania, sema watu waadilifu kwenye hizo Taasisi ni wachache sana! Ndiyo maana inabidi tuzalishe faster akina Jerry Silaa wengi!!
Stroke said: Haya ndio mapungufu tuliyonayo sisi waafrika. Tunajenga watu badala ya taasisi. Tutachelewa sana. Click to expand... Taasisi zipo na ziliwekwa na Big Ben akiwa Rais wa Tanzania, sema watu waadilifu kwenye hizo Taasisi ni wachache sana! Ndiyo maana inabidi tuzalishe faster akina Jerry Silaa wengi!!