Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

GENTAMYCIME again
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana’a aiseee!!
Mwenzio niko kwenye maandalizi ya kuomba visa ya France si unajua mFrance aliniambia niende kwao [emoji12]
Hakika Sina dhihaka, ni mashaka nitakapo kukosa..
Mrembo una kila sifa,siyo kijuso ka queen Ratifa..

Achana na mzungu njoo kwa NALIA NGWENA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Countrywide ndege wako anachukuliwa huku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unapenda ugomvi wewe?! Unamuita uyo mchawi wa nini? Hutaki kuwa na bamdogo wewe [emoji3]
 
Mimi sitaki verse za wimbo bora, mfuko unasoma?!!
Sasa maswali gani hayo yaani Gentleman NALIA NGWENA /Toto tundu/Toto babdindu/mishe mishe mjini yaani born town kitambo Sasa nitakosaje kibunda mbona unauliza maswali mepesi.

ANGALIZO ; tukija kukutana usije kuandika bandiko humu jf kuwa umekutana NALIA NGWENA .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Humu nawaandika wasiokuwa na vibunda, wale michosho maneno mengi vitendo zero

Chana wallet my wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…