Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Hakika nafarijika mno NALIA NGWENA na sura langu hili Kama nazomea lakini Kuna totozi kutoka mitaa ya washua Tena pisi Kali kweli kweli haziogopi kunifata PM.

Hicho kitendo kimenifariji sana tena sana hakika aliyesema "wanawake wanahuruma " Nampa big up kwa asilimia Mia. Haiwezekani na weusi wangu huu mtoto mzuri Kama Cute Wife anakuja inbox kunijulia hali? Huo ni mfano tu nimetolea kwa huyo cute wife.

Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.

Nawasilisha pongezi zangu hizo za dhati kwa wadada wa JamiiForums mnaokuja inbox kwangu na msiokuja pia.
GENTAMYCIME again
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana’a aiseee!!
Mwenzio niko kwenye maandalizi ya kuomba visa ya France si unajua mFrance aliniambia niende kwao [emoji12]
Hakika Sina dhihaka, ni mashaka nitakapo kukosa..
Mrembo una kila sifa,siyo kijuso ka queen Ratifa..

Achana na mzungu njoo kwa NALIA NGWENA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sitaki verse za wimbo bora, mfuko unasoma?!!
Sasa maswali gani hayo yaani Gentleman NALIA NGWENA /Toto tundu/Toto babdindu/mishe mishe mjini yaani born town kitambo Sasa nitakosaje kibunda mbona unauliza maswali mepesi.

ANGALIZO ; tukija kukutana usije kuandika bandiko humu jf kuwa umekutana NALIA NGWENA .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa maswali gani hayo yaani Gentleman NALIA NGWENA /Toto tundu/Toto babdindu/mishe mishe mjini yaani born town kitambo Sasa nitakosaje kibunda mbona unauliza maswali mepesi.

ANGALIZO ; tukija kukutana usije kuandika bandiko humu jf kuwa umekutana NALIA NGWENA .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Humu nawaandika wasiokuwa na vibunda, wale michosho maneno mengi vitendo zero

Chana wallet my wangu
 
Back
Top Bottom