Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Ndugu zangu tusijichoshe huyu bwana pesa hana, yeye na mFrance wote choka mbaya.

Huyu bwana alishawai kumkimbia mwanamke bar na rafiki zake kisa elfu 10 ya chakula[emoji1787] na ndugu zangu mnanijua bwana mwenye mistari mingi km ya wimbo bora kwenye bible simtaki!!
Mimi nataka bwana mwenye pesa shopping ya harusi twende Dubs
[emoji2539][emoji124][emoji124]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na huu

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Hatakama ni mrefu, hatakama ni mfupi
Hatakama ni mnene, hatakama ni mwembamba

Huyo ni chaguo lako, huyoo ni chaguo lako

Hatakama ni mweusi, hatakama ni mweupe
Huyoo ni chaguo lako, Huyo ni chaguo lako Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Hakika umeni heshimisha sana haswa huo mstari wa "hata kama ni mweusi"

Nimefurahi mno Tena na umenitia moyo katika juhudi zangu za kumtaka Cute Wife

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Harusi hakuna mpk aweke mzigo sitaki kwenda kuishi na bwana hana pesa plus ilo sura linatisha hivyo ndugu yenu nitapata sonona
[emoji23] sisi shemeji yetu tumempitisha harusi tunayo
 
Huamini sweety, ake tukapendane basi,

Au umeangalia umri wangu unasoma 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], acha hizo baby akee [emoji3531][emoji3531][emoji703]

Weeknd uko free,
Unaniangusha sana Kaka ako, hivi Nani alikufundisha kuomba hivyo??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakika nafarijika mno NALIA NGWENA na sura langu hili Kama nazomea lakini Kuna totozi kutoka mitaa ya washua Tena pisi Kali kweli kweli haziogopi kunifata PM.

Hicho kitendo kimenifariji sana tena sana hakika aliyesema "wanawake wanahuruma " Nampa big up kwa asilimia Mia. Haiwezekani na weusi wangu huu mtoto mzuri Kama Cute Wife anakuja inbox kunijulia hali? Huo ni mfano tu nimetolea kwa huyo cute wife.

Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.

Nawasilisha pongezi zangu hizo za dhati kwa wadada wa JamiiForums mnaokuja inbox kwangu na msiokuja pia.
Mwandiko kama wa antibiotics
 
Back
Top Bottom