NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #161
[emoji2539][emoji124][emoji124]Ndugu zangu tusijichoshe huyu bwana pesa hana, yeye na mFrance wote choka mbaya.
Huyu bwana alishawai kumkimbia mwanamke bar na rafiki zake kisa elfu 10 ya chakula[emoji1787] na ndugu zangu mnanijua bwana mwenye mistari mingi km ya wimbo bora kwenye bible simtaki!!
Mimi nataka bwana mwenye pesa shopping ya harusi twende Dubs
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app