Natoa Siri kwa wanaume: ukitaka kumjua mume mwenza, nenda kazini kwa mkeo angalia wanaofanana na wanao

Natoa Siri kwa wanaume: ukitaka kumjua mume mwenza, nenda kazini kwa mkeo angalia wanaofanana na wanao

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa.

Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua kwa ufanano wa sura, tembeleeni maofic ya wake zenu au jengeni ushkaj na wanaofanya kaz nao, watakujuza.

Kampuni nyingi wafanyakazi wamewekwa majina na sura zao kwa website, chungulieni mtapata clue, mtanishukuru
 
• Ndio maana walileta kipimo cha DNA, ni laki Tatu tu...

• Acha kumaliza sole za viatu kufuatilia vitu ambavyo huna uhakika navyo. 🤝
 
Wengine tuna figure na rangi orijino, mtoto akizaliwa tofauti na sisi tulivyo itajulikana tu kuwa kuna uchepukaji ulifanyika.
 
Kuna watu maofisini ni washenzi wanapitia wake za watu bila kuheshimu ndoa zao. Unakuta jimama nalo linajiachia kwa bosi wake au mfanyakazi mwenzake huku lina mume matokeo yake linachakatwa mpaka linanasa mimba linakuja kutoa uroda na nyumbani kupotezea ya kazini kwake. Kumbe jamaa wa ofisini kwake tayari goli lake liliwahi kutinga nyavuni kabla yako, anakuja kutokea mtoto si wako. Ndio hapo ndoa inaanza kuyumba na kuvunjika kwa mwanamke kuwa mzinzi
 
Back
Top Bottom