Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

IGP, Makalla, Kibamba
 
Mtu aina ya Wambura ndio ambao CCM inaeatengeneza ili wawatumie kama electricgrill kwenye mjengo.
 
Ni kweli kwamba Wananchi wengi wanatamani CCM ing'olewe madarakani hata muda huu , lakini huwezi kuangusha Mti mkubwa bila kupunguza kwanza Matawi yake ili kutafuta uelekeo mzuri wa kuanguka ili usiangukie nyumba za watu[emoji419][emoji375]
 
Ni
Ushamba wao usidhalilishe Nchi
Je unafahamu watakaosababisha machafuko katika hii Nchi ni ccm na vyombo vya dola? Kamwe upinzani hautakuwa chanzo cha machafuko ila ccm kama wameahindwa kuiheshimu katiba walioapa kuilinda unadhani siku watu wenye uthubutu wakitaka kuilinda katiba hiyo chanzo cha machafuko watakuwa nani kama sip ccm? Hushangai kwanini wanajiongezea kinga za kutoshtakiwa ? Ni kwasababu wanajua wanayofanya ni machukizo mbele ya umma wa watanzania. Ingekuwa Nchi nyingine kitendo cha kupitisha sheria za kuuza Nchi kimangungomangungo bunge zima na spika walikuwa wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka hasa ukichukulia hatukuwachagua ! Waliiba uchaguzi.
 
kwanini wewe usijiulizi kuleta kila upumbavu hapa JF?
 
waanacnhi gani hao nyie manyumbu wachache, tusubiri uchaguzi uje tena kuandika humu. Nyie ni mazuzu tu hamtakaa muongeze nchi hii mpaka vilembwe vyenu
 
Hili tumkabizi Mama Amon SUMBAWANGA
 
Wa kulaumiwa ni huyo aliyemteua kuwa IGP na Kingai kuwa DCI. Hawa wawili waliotumika na awamu ya tano kupika kesi za mchongo kwa wapinzani kupewa dhamana ya kuliongoza jeshi la police ni dhihaka kubwa kwa dhana ya utawala bora.
Kama ufisadi unafanywa na watu binafsi utakuwa hatari, ila hatari itatisha zaidi kama sehemu ya state organs inafacilitate ufisadi.
Fuatilia tamthilia ya THE BROTHERS utaona uhusiano huu
 
Nchi hii inawasomi wengi wanafiki na wasaka tonge. Kwa ujumla bado hatujapata watu dhabiti kama taifa. Na ili liliasisiwa na mwl Nyerere. Kila aliyekuwa na fikra na mtazamo tofauti alimuona adui na msaliti. Mfano KAMBONA. Na rais Moi wa kenya aliwahi kumwambia mwl kuwa. Mimi ninatawala wakenya wanaojitambua siyo kama hao watanzania mbumbu. Mimi nikiongeza sent tano kwenye wembe wakenya watataka kujua kwanini nimeongeza. Na wewe ukaongeza sh hamsini watanzania wakakusifia na kusema, zidumu fikra safi za mk wa ccm
 

Hawa huwa wanafanyiwa vetting kweli?
 
Mambosasa anachukua nafasi yake
 
Naunga mkono hoja.

IGP wa ajabu kuwahi kutokea tangu Uhuru.

Nilishangazwa sana na matamshi yake yale siku anaongea na vyombo vya habari.

Nilijaribu kutafakari aina ya viongozi tulionao nilijikuta nalisikitikia Taifa langu
Kaingizwa mkenge na yule RC mwenye kuchekesha
 
Mungu wa Mbinguni akupe ulinzi

Jeshi la Polisi linapaswa kurejesha imani kwa nchi. Uhaini ni kesi kubwa na nzito.

Utamaduni wa kubambikia kesi watu sasa umefikia kilele chake
 
Kasome kifungu kidogo cha tano cha sheria hiyo wewe paralegal !

Ila ngoja nikusaidie ni kuwa kama mtu katenda uhaini, mauaji, armed robbery nk hatopewa dhamana

Hivyo usitudanganye, siku nyingine usitetee upumbavu

Kasome kifungu kidogo cha tano cha kifungu 148 cha sheria hiyo wewe paralegal !

Ila ngoja nikusaidie ni kuwa kama mtu katenda uhaini, mauaji, armed robbery nk hatopewa dhamana

Hivyo usitudanganye, siku nyingine usitetee upumbavu
Kwani hiyo charge ya hilo kosa umelitoa wapi? Wakati hawajakamilisha upelelezi na kujua maneno na mipango Yao imetengeneza kosa gani na DPP bado hajaandaa hati ya mashtaka? Au mmejitengenezea kosa Lenu la hear say?
 
Hiki kikundi kilicho fanya kazi za kuteka na kuua chini ya utawala wa JPM nikishangaa sana Mh. Rais Mama S.H alipo amua kufanya nao kazi.
Alifikiri wange badilika lakini Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ukizowea kula nyama ya mtu huta weza kuacha.
Ndio hao hao wana endeleza ujinga wao wa kipindi cha JPM. Kutunga kesi za kipumbavu za kihaini.
Bado Mama anaendelea kuwakumbatia tuu!!
 
Au sio! Mboga saba, nyumba nzuri, hela kama zote....hivi wewe umepimwa akili kweli wewe? Au umerogwa? Unaijua shida wewe?
Mkuu mzee wako ndo IGP ni aibu kwako hata kumuita baba maana unajua anapata hela zakutumikishwa kuongea uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…