Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Mwenyekit acha hizo bana..shatembelea mitaa yoote..!!
 
mswati wee mswati..unikague wakat mi nilikaguliwa kbs..sehemu zote
 
kuna wengine tunawasubiri kwa hamu waje na id zilezile tuwasute humu ndani
 
Nami nahisi nimepotea na kwa kweli najitafuta sana wala sijioni...hata nikipita kwenye kioo wala sijioni.
 
Back
Top Bottom