maaayooo..
Natembeaje atii??
Afu wewe dogo tabia ya kubadilibadili majina jiangalie isijefika siku ukabadili hadi jinsia.... ohoo...!!!
Baba V hyo jamaa Vin Diesel anatumikia ban ya nyumbani baada ya kuambiwa hana ruhusa ya kuingia jf.
Copy kwa@watu8 Erickb52
Achana nae atakufia bure coz hayawezi mapigo ya Digitali huyu mzee.Hahahahahahaaha
Nashangaa, afu Asprin anataka anikague watoto wakiwa wamelala me nikagoma..!!