Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Achana nae atakufia bure coz hayawezi mapigo ya Digitali huyu mzee.
Siku tumemuachia ukaguzi wa wazee wenzake sisi vijana ndio tunashughulika na ninyi totoz wa digitali a.k.a 21st Century
Tena umwambie ushankagua vya kutosha so sihitaji inspection nyingine.
 
mwenyekiti - siku zinavoenda...nitaja omba ruhusa ya kukagua watu umu

Afu wewe ilibidi nikukague ile siku ulosema ungenipa lift but alas! something went awry somewhere... Ntakutafuta wikend ya mwisho wa wiki ili niku verify...!!
 
hapana Baba V umekosea, ni sawa na kwenda kumsemea gynaeocologist kwa mkewe eti anachunguliaga wamama wengine!!!

Mie sijakushtaki mkuu, nimempa tu kopi kwa ajili ya matumizi yake binafsi..
 
Last edited by a moderator:
nimegundua ukaguzi wake unapunguza nguvu za fivesome yetu! ameanza fellowship jana na jando, ili kujinoa zaidi! nimekumissiapo shem wangu wa ukweeeeeee! ukimuona hubby wangu Asprin mwambie nampenda kuliko siku yetu ya harusi.
Mke wa ujana wangu umeniita?

Hebu kam zis wei nikuchum. Unajua nakupenda kuliko siku nlokutoa bikra?
 
Last edited by a moderator:
Acha uoga wewe, huyo ndo ana iksperiens ya kutosha.... huoni hata wadada wanakaguliwa na ODM babu Asprin na kwa sasa na mimi mwenyewe, ukiogopa Madame B basi kubali Mamndenyi akuhusu...
Nimeambiwa umeniita Baba V. Kwa kifupi kabisa bila kupoteza muda naomba list ya mabinti ambao hawajakaguliwa. Waambie wakam zis wei fasta.

Baada ya kusema hayo nimeitikia wito wako. AM BACK!
 
Last edited by a moderator:
tabia ni kama ngozi,
hatimaye umekubali kuwa uu mkaguzi???
kwa kweli mimi hapana siku hizi nimelokoka hayo majamboz nimemwachia Madame B na wengineo kama Paloma nk.

Acha uoga wewe, huyo ndo ana iksperiens ya kutosha.... huoni hata wadada wanakaguliwa na ODM babu Asprin na kwa sasa na mimi mwenyewe, ukiogopa Madame B basi kubali Mamndenyi akuhusu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom