Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

There you are man.. Kwa kuanzia tu anza na hawa
i. leh
ii ram
iii Chocs
iv Asnam
iv. sweetlady (kwa sababu maalum)

Well ili nisifanye upendeleo itifaki na izingatiwe. Aliyeanza kuiLIKE hii yuziful post yako ndo atakuwa wa kwanza. Popote ulipo ram kam zis wei without naniliyu wakati Chocs akijiandaa.

Vigezo na masharti kuzingatiwa. Na hapa sitahitaji mwongozo wa mwenyekiti Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Nakujaje without naniliyu?

unajua nakupenda sana! Nacheza tu staki nataka! Nitakupa ule mpaka ukinai hubby wangu!
I know darlie... I know. Watatuchukiaje??
Watatimua mavumbii sisi twalaaaaa
Wanataka mapinduziiiiii
Na mapinduzi hawayaweziiiii

:A S-omg::A S-coffee::A S-omg::ranger:
:washing::A S-fire1:

Nitapigana humu ohooo!
Usiende mbali namiiiii, mimi bado nakupendaaaaa!!
 
Uliniambia wote umeshawaacha, inakuwaje hapa? Unajua nina wivu mie
Yaani hapa hasira zimenipanda, sikubali kama ni hivyo nikae pembeni tu

I know darlie... I know. Watatuchukiaje??
Watatimua mavumbii sisi twalaaaaa
Wanataka mapinduziiiiii
Na mapinduzi hawayaweziiiii

:washing::A S-fire1:

Usiende mbali namiiiii, mimi bado nakupendaaaaa!!
 
I know darlie... I know. Watatuchukiaje??
Watatimua mavumbii sisi twalaaaaa
Wanataka mapinduziiiiii
Na mapinduzi hawayaweziiiii

:washing::A S-fire1:

Usiende mbali namiiiii, mimi bado nakupendaaaaa!!

Angalia ram asije ondoka na "kikagulio" ukashindwa kukagua wengine, maana anaonyesha ana wivu balaa..!!!
 
Last edited by a moderator:
Uliniambia wote umeshawaacha, inakuwaje hapa? Unajua nina wivu mie
Yaani hapa hasira zimenipanda, sikubali kama ni hivyo nikae pembeni tu

We mwana we... punguza munkari..!! sio penseli ile kwamba itaisha... ha ha ha haaa..!!
 
Huyu babu dogodogo watamuua lkn aliniambia keshawaacha wote nashangaa bado wanaita hubby na cacico, lol!
Unachosahau ni kuwa cacico ni mke wa ujana wangu. Hanaga noma kiviiiile. We kuja pande hii bana acha longolongo mingi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom