Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Yaani tuekupa lift kwenye Vogi letu sasa unataka uanze kukata kona?

Labda ukate kiuno, na hivi mie ndio niko mbele utajibeba.

Sosi -mimi mwenyewe

Afu Asprini, nimenuna

Uliniambia wote umeshawaacha, inakuwaje hapa? Unajua nina wivu mie
Yaani hapa hasira zimenipanda, sikubali kama ni hivyo nikae pembeni tu
 
Last edited by a moderator:
Nimesema sikubali, ASPRIN hebu kuja hapa unyooshe maelezo, naona umenyamaza tu wkt mwenzio moyo unaniuma

He he he, Tanzania kuiziria Marekani faida kwa Ethiopia, SOmalia, Syria n.k

Siji tena mie labda hasira zangu zikipungua

Kuna panado hapo pembeni, meza tu mama
ujue siku hizi maumivu ya mapenzi yanatibiwa na panado?

Umesahau na asali yake Kongosho. Na Yummy pia!

Ana utani na wake wa ujana huyu.
Mswati naye akatazwe kuchezesha ngoma?
 
unachosahau ni kuwa cacico ni mke wa ujana wangu. Hanaga noma kiviiiile. We kuja pande hii bana acha longolongo mingi
utakuja jengea mikoko na miembe ukidhani ni mninga! Hubby njoo nyumbani mapem aleo, nimekupikia your favourite meal!
 
inawezekana walitengana tu lakini huwa hamna kuachana...!!
na we utasutwa subuhiiiiiiii kabla mnadi swala hajaamka! Aliyekwambia tulitengana nani?? Watu tukila bata zetu mnaanza kuchunguza! Mshindweeeeeeeee jamani!
 
Unaona! umeshanuna
Mtanuna sana, miye ndo kitu kipya kwa babu, hata bibi anajua, halafu tumeshayaongea wenyewe tumeyamaliza, pole babu ana kitu kipya kama mlikuwa hamjui na sababu hata huku alikuwa haji lol!

Yaani tuekupa lift kwenye Vogi letu sasa unataka uanze kukata kona?

Labda ukate kiuno, na hivi mie ndio niko mbele utajibeba.

Sosi -mimi mwenyewe

Afu Asprini, nimenuna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom