Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Tarifa kwa Baba V, nimeshafanyiwa ukaguzi na mimisa na sasa ni utekelezaji tu...!!!!😛izza:😛izza:😛izza::smash:
 
Last edited by a moderator:
"leti mi woku widhi toku tu yu noo hau yu fil,songa karibu mpenz wang u r so sexy',,,,natabaasaamuu kila siku juu yaaakoo"........
 
Baba V..nilitimiza vyema jukumu la kumkagua Mentor..lilikua jukum zito ukizingatia kionea mbali kilikua kinaleta shida..bt zoez lilifanikiwa..sitakagua mwingne...ni huyo tu..na iyo ndo ripoti yangu kwako mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Naomba kesho huje kuwakagua pale LEO TENA PUB kwani watakuja watu wasioeleweka na wenye kuleta fujo usisahau mheshimiwa naibu spika ndugai
Wapendwa simaanishi kuwarudisha kijijini, I mean nyumbani CHIT CHAT.. Hawa wapendwa tulikuwa nao sana humu lakini wameadimika ghafla na hawapatikani kama ilivyokuwa siku za nyuma...
Nawaomba mrudi home, WE MISS YOU....
1. ODM babu Asprin nakumbuka was the most active member hapa, hakuna atakaeingia hapa bila kukaguliwa nae, iwe mchana au usiku, jua au mvua, ofsini au barabarani na kweli kazi aliimudu lakini sasa wapiii!!???? kapotea watoto wanajiingilia tu humu wanarukaruka at their liberty hakuna wa kuwakagua, akina Chocs, ram e.t.c nina uhakika hawajakaguliwa, COME BACK Asprin.. !tumemiss picha mnato....

2. Vin Diesel.... huyu tulikuwa nae na nakumbuka kabla hajapotea alitongoza almost kila mwanamke hapa jamvini, Aliacha kuonekana baada ya Mr Rocky kumpora Mamndenyi, sa hatujui kama ndo alienda kujinyonga ama la.... I wonder what happened to that guy... Vin Diesel rudi haraka.....

3. Mr Lundenga Ruhazwe JR.., huyu ndo alikuwa founder coordinator wa miss chit chat shindano ambalo lilikuwa bambam balaa, nakumbuka baada ya shindano la mwisho mwezi Disemba aliingia kwenye mgogoro na wana Chit chat baada ya kupotea hewani kwa muda kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi kutokana na kupata matatizo ambapo alikuja na akaweka mambo yote sawa na maisha yakaendelea but kitambo kidogo akaadimika humu... tunaumiss mchango wako jukwaani hapa.. come back man....

4. gfsonwin ...Huyu mwalimu mwenzangu kapotea sana hapa jukwaani hasa baada ya matokeo kusababisha watoto wanne wajiue... mara chache amekuwa akionekana mitaa ya MMU na Siasani wakiwa na cacico ambae nae ni mtoro sana hapa....COME BACK bhana... me miss you people vere vere yaani...

Come back people and life must go on despite the stumbling blocks along the way.....
Wasalaam
Mwenyekiti Baba V
 
Enhe shost na mke mweza wa zamani, hebu nipe umbeya.... Tena ngoja nikae kitako kabisaaaa!!!!!

heheheee kusutwa suna shosti mkemwenza! ngoja twende chemba manake namwona King'asti anavyosubiri kwa hamu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom