Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Mwenyekit acha hizo bana..shatembelea mitaa yoote..!!
 
mswati wee mswati..unikague wakat mi nilikaguliwa kbs..sehemu zote
 
mwenyekiti..nilikaguliwa miee..sema ulikuaga unatumikia ban..
 
kuna wengine tunawasubiri kwa hamu waje na id zilezile tuwasute humu ndani
 
Nami nahisi nimepotea na kwa kweli najitafuta sana wala sijioni...hata nikipita kwenye kioo wala sijioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…