Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Duuu! Mungu aendelee kukuongezea busara, ushauri wako umefumbua ubongo Wangu. Ni kweli kuna ugomvi ulitokea kati yake na mke wangu mwanzoni mwa ndoa yangu lakini saizi wanaelewana kupita kiasi.


Kuwa na Macho yakuona Mbali zaidi ya Kope za Jicho Lako... Asante na Mungu Akubariki Uyashinde Majaribu kwa kujua kuwa Adui wa kila kitu yupo Pembeni yako
 

Hebu acha blah blah
Unafurahia kubembelezwa na mtoto wa kike [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( maana ni wanaume wachache wanaotangozwa)
Kama kweli humtaki ungemwambia mkeo.
 
upo vzur
 
Duuu! Mungu aendelee kukuongezea busara, ushauri wako umefumbua ubongo Wangu. Ni kweli kuna ugomvi ulitokea kati yake na mke wangu mwanzoni mwa ndoa yangu lakini saizi wanaelewana kupita kiasi.

Mkuu Ukiendelea na Msimamo huu na Ukaendelea kuishi hapo hapo kuna Mawili yatajitokeza.

  • Huyo Mpangaji Kubadili Techniques ya kukuapproach ikiwa ni pamoja na kukubali yaishe lakini atakuwa akikushirikisha kila jambo lake.
  • Au Kupata Pongezi kutoka kwa Mke wako kwa Kuushinda Mtego huu.

Nipo Hapa utakuja kunikumbuka.
 
Pole kwa huo usumbufu unaopata,tafta nyumba nyingine uhame hapo,pia badili namba ya sim,jiepushe kukutana na Huyu mama katika mazingira tatanishi.
 
Ahsantee mchambuzi mwizi andakwa muda c Mrefuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yani huwezi ukawa hutaki huo upuuzi wakati akisema anataka kukuona unakimbia, my dear unajidanganya ipo siku utazingua

Mshirikishe mkeo, itakusaidia pia kutomsaliti
 
NA WAKIAMUA KUKUFUATFUATA HATA KAMA UKIMZABA KOFI KYUONESHA KUMKATAA BADO ATAKUWINDA TU..KAZI UNAYO..MI SIJUININGEFANYAJE...KUHAMA UTAHAMA MARA NGAPI SASA...KAMA UTAPOENDA UTAKUTA MWINGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…