Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Ahsante, Ingawa kuhama hapa itanigharimu coz ni nyumba ambayo wapangaji tupo watatu tu na hatuishi na mwenye nyumba so wapangaji tupo huru sana. But kama itabidi naweza kuhama
 
Pole kwa huo usumbufu unaopata,tafta nyumba nyingine uhame hapo,pia badili namba ya sim,jiepushe kukutana na Huyu mama katika mazingira tatanishi.
Ahsante ila kuhusu kubadili namba siwezi coz ni namba yenye connection kubwa katika mambo yangu. Labda kuhama nyumba ikibidi.
 
Inasikitisha sana...

Ila wewe mtoa mada ni sitaki nataka... Ni muda tu atakunasa sasa hivi...

Number umempa, unapata hadi muda wa kukutana nae...kwenye massage unachat ane.. Huna msimamo...



Cc: mahondaw
 
hahaha unadhani ukimwambia mkeo ndo utaaminika thubutuuu
umeokota dodo chini mwarobaini
 
Asa ww mda woote huo mkeo hujamueleza chchte tu? Me nahc kuna mazngira unayatengeneza ili akunase... So kam vp we kajinyakulishe tu ili akunyakue...

Mana kam kwel unaithamin ndoa yako bs walau ata tetesi tu mkeo angeshazipata kupitia kwako,
 
Hiyo namba ya huyo dada kwa nini usiizuie kwenye simu yako? Au badilisha namba ya simu.

Vv
Nimeshaizuia now but siwezi kubadili Namba yenye connection kubwa ya mambo yangu kisa kutongozwa, nitabadili ngapi endapo watajitokeza wengine.
 
ukimwambia mkeo ndo utakuwa umerikoroga,cha msingi daaah,patamu hapo! zamani ilikua ukimwambia mtu akukome alikua anakoma,sijui kwa siku hizi kwa kweli ebu mjaribu "NIKOME JIRANI NEXT TIME NITAKUPIGA MBELE YA MKE WANGU"
 
Asa ww mda woote huo mkeo hujamueleza chchte tu? Me nahc kuna mazngira unayatengeneza ili akunase... So kam vp we kajinyakulishe tu ili akunyakue...

Mana kam kwel unaithamin ndoa yako bs walau ata tetesi tu mkeo angeshazipata kupitia kwako,
Ndugu yangu umeoa? Mimi niliambiwa niishi na mwanamke kwa akili, kwani utajua muda sahihi wa kumshirikisha mkeo ila si kukurupuka jambo halijamaliza hata wiki unamwambia mkeo, labda nikuambie tu, mke wangu kwa sasa ni mjamzito na Mungu akijaalia atajifungua hivi karibuni so sitaki kumpa mawazo kwa sasa ingawa najua kuna siku nitamwambia coz ushahidi ninao.
 
Sasa kama umekataa unataka ushauri gani tena kwetu? Au tukwambie ukubali?. Are u serious kweli?. Au umejisikia kupost tu, we mtu mzima na akili zako na umesema hutaki sasa huyo mwanamke atakufunga na kamba?. Leta mada zenye tija hayo wanaulizaga kwenye magazeti ya kiu na uwazi.
 
Kawaida wasio na kucha ndiyo husikwa na upele..
 
Huwezi kumwambia mkeo jambo ambalo hujajiridhisha kuwa kitatokea nini, labda kama hujaoa ila kama umeoa usingekuwa mwepesi wa kunishauri nimwambie wife punde tu jambo kutokea, ingawa nimempa worning kuwa akiendelea naweza kumwambia wife.
wewe na mkeo sasa ni mwili mmoja
chagua moja kusuka au kunyoa
mwambie mkeo au kula mzigo
acha kulialia kama huyo dada anataka kukubaka
 
Kwa akili za wanawake, usikute wanatambiana kisaikolojia yaani huyu mpangaji na mke halali wa mlalamikaji. Dawa kubwa hapa ni kumwambia huyu mpangaji mwenziwe kuwa akiendelea kumtongoza itabidi amwambie/amshirikishe mkewe na kama ana akili huyu mpangaji lazima ataacha kujitongozesha na kumchukia jamaa zaidi na kupelekea yeye mwenyewe kuhama kwa haibu. Very simple.
 
soma vzr ujumbe, hajaoneshwa jinsi chupi ilivyoloa....bali alitumiwa ujumbe wa simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…