Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

ME NISHAOLEWA NALEA WAJUKUU
Kuolewa ni jambo jema.

Hoja hapa ni kule mtu kutaka kujikweza na kutishia namba za umri wa miaka yake.

Kijana anapokutongoza siyo kwamba anakuwa haelewi kuwa anayemtaka ni mkubwa wake wa size ya dadake, mamake, shangazi yake ama nyanya yake.

Mwanamme mwingine anapolisaka penzi la mtu anayemzidi umri huwa kamaanisha seriousily.

Cameron ama nchi gani sijui kule west Africa, vimbibi vinatoka ulaya kuja kutafuta wavulana wadogo wavishughulikie kwa kuwalipa pesa ndefu.

Mwanzo wa penzi huwa ni kuangaliana sura bila hata kuanza kuchomoleana vyeti vya clinik kutathimini age!

Kama mdogo wako anakutaka, mtathimini kwa sifa zingine siyo kwa umri wake, kisha kama kakidhi vigezo vingine unavyovitaka wewe, ruka naye.
 
Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au?
mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena?

sasa mtapita wapi na mimi

"eti, Tsup ma, how ya doin'
baby send me your photo
ma, you love my swaga?
hey babe, lil mama
hey honey money
money penny i got money for ya''

yani huku whatsapp ni balaa, missed calls 300, picha za mb.o.o kama zote!

nyie watoto wa 2000 mimi nawazaa mara 10 mjue

mjukuu wangu wa 3 anamaliza chuo mwaka huu 2024

View: https://www.youtube.com/watch?v=fDxzQJaA228&list=RD-n3sUWR4FV4&index=11

What will i do without you Money Pen.
 
Kuolewa ni jambo jema.

Hoja hapa ni kule mtu kutaka kujikweza na kutishia namba za umri wa miaka yake.

Kijana anapokutongoza siyo kwamba anakuwa haelewi kuwa anayemtaka ni mkubwa wake wa size ya dadake, mamake, shangazi yake ama nyanya yake.

Mwanamme mwingine anapolisaka penzi la mtu anayemzidi umri huwa kamaanisha seriousily.

Cameron ama nchi gani sijui kule west Africa, vimbibi vinatoka ulaya kuja kutafuta wavulana wadogo wavishughulikie kwa kuwalipa pesa ndefu.

Mwanzo wa penzi huwa ni kuangaliana sura bila hata kuanza kuchomoleana vyeti vya clinik kutathimini age!

Kama mdogo wako anakutaka, mtathimini kwa sifa zingine siyo kwa umri wake, kisha kama kakidhi vigezo vingine unavyovitaka wewe, ruka naye.
Ndefu sana nimechoka kusoma
Ongea ka vp
 
Back
Top Bottom