Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

ME NISHAOLEWA NALEA WAJUKUU
Kuolewa ni jambo jema.

Hoja hapa ni kule mtu kutaka kujikweza na kutishia namba za umri wa miaka yake.

Kijana anapokutongoza siyo kwamba anakuwa haelewi kuwa anayemtaka ni mkubwa wake wa size ya dadake, mamake, shangazi yake ama nyanya yake.

Mwanamme mwingine anapolisaka penzi la mtu anayemzidi umri huwa kamaanisha seriousily.

Cameron ama nchi gani sijui kule west Africa, vimbibi vinatoka ulaya kuja kutafuta wavulana wadogo wavishughulikie kwa kuwalipa pesa ndefu.

Mwanzo wa penzi huwa ni kuangaliana sura bila hata kuanza kuchomoleana vyeti vya clinik kutathimini age!

Kama mdogo wako anakutaka, mtathimini kwa sifa zingine siyo kwa umri wake, kisha kama kakidhi vigezo vingine unavyovitaka wewe, ruka naye.
 
What will i do without you Money Pen.
 
Ndefu sana nimechoka kusoma
Ongea ka vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…