Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

ukishaona hauna ulichobakiza nicheq nikuoneshe wapi palipobaki.
 
Ila Haszu kwa kutaka kutibua Waja hujambo kwa kweli.
Lamomy
Uduguu njoo umuonee Beautiful boy. Kaja na shengesha ya kazini kwakee.
Lol 😂😂😂
Haszu tatizo hansamu sana anamvuruga HR na staff wenzie..!! 😹😹😹

haszu mpelekee moto HR usicheke naye 😹
 
Ukiona ivo ujue ww ni cheap sana ndo maana unatongozwa na kila mtu na mwanamke anayejiheshimu hawezi tongozwa na kila mtu tena mpaka na mabwana za watu waliokuzidi umri angalia mwenendo wako na jinsi unavojiweka apo kazini upo so cheap kiukweli badilika na angalia umri usichezee usichana wako ulifikisha 30 plus utaelewa nn nasema kwanza utapoteza mvuto kabisa
 
Subiri tumalize Maandamano tarehe 7/7, then nitakutafuta unipe vodafasta cha moto moto. Nadiriki kusema we utakuwa mtamu.
 
Yes,
this is your time ndugu mdau,
na hiyo ndio nature ya mamalia tulivyo,
kuna kaupepo, kamg'ao, kamuonekano au kaharufu kako fulani hivi, kanatamanisha na kanavutia wengi, kila moja anakutamani kwasababu hiyo.

but hua kuna mwisho, wake katapotea tu
na kakifikia mwisho, unaweza kuhisi umelogwa. 🤣

Utajikuta hakuna anaekusalimia, anae view status zako za binua mgongo pindisha shingo, wala hapatakuwepo wa kukutongoza, ukichina. Kaharufu na kamuonekano katapotea kabsaa..

Ni vizuri sana kutumia fursa na wakati wako vizuri, maisha hayana extra time 🐒
 
Yooo
 
R'u he or she au wanaume kama mabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…