Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

Ukiona ivo ujue ww ni cheap sana ndo maana unatongozwa na kila mtu na mwanamke anayejiheshimu hawezi tongozwa na kila mtu tena mpaka na mabwana za watu waliokuzidi umri angalia mwenendo wako na jinsi unavojiweka apo kazini upo so cheap kiukweli badilika na angalia umri usichezee usichana wako ulifikisha 30 plus utaelewa nn nasema kwanza utapoteza mvuto kabisa
Wee nawe unaandika kitabu wakati huyo ni mkaka.
Alishaletaga Uzi akasema anatamani awagawie dada zake uzuri alio nao maana Hadi wakaka wenzie wanamtongoza
 
Upo vizuriii
1000427419.jpg
 
Yani kuna wakati najisikia niringe au nijivune kwa attention ninayopata, lkn kuna wakati naona kama mwisho wa hili hautakua mwema. nimekua nikitongozwa sana tangu nianze kazi, na wengine ni watu lazima nikutane nao kila siku na wengine wamenizidi cheo.

Kwa sasa na kipato cha uhakika nimezidi kung'aa, mtu akikuangalia mara mbili anataka akuangalie tena. lakini unaona kabisa hii attention italeta shida. siku boss mmoja akikua namkubali mtu tofauti, sijui maisha ya ngu ya kazi yatakuaje.

Yote kwa yote, watu wanazingatia sana muonekano wa nje, hawajali ukoje utakuaje, ila vile unavyoonekana, unavutia watu wengi sana. naendelea kujifunza mengi hapa kazini.

kama unasura personal huwezi ukaelewa.
PENDEZA WAKUPENDE UWAHONGE UFIRISIKE UCHAFUKE WAKUKIMBIE.
 
Back
Top Bottom