Natongozwa sana na wadada Instagram

Natongozwa sana na wadada Instagram

Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.

Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.

Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.

Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.

Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.

Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.

Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana

Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.

Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Kwa hiyo umeamua kusema ivo ili waje pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama taifa tuna kazi kuufikia uchumi wa viwanda.
 
Hapana, natoa tu ya moyoni. Hii account haipaswi kujuana na mtu yoyote humu ili kulinda image niliyonayo katika jamii.
Hivyo ondoa shaka
Account yako nyingine ni ipi ili usiharibu image yako mkuu😁😁
 
Nakuja inbox mkuu[emoji2]
IMG_20210918_235422.jpg
 
Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.

Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.

Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.

Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.

Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.

Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.

Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana

Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.

Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Leo la huu uzi ni nn hasa?

Unataka utongozwe na wadada wa huku JF?

Ww funguka tu watakuja wenyewe
 
Back
Top Bottom