Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #21
Hilo sio lengo langu, relaxSasa si alipie tangazo ndio mazagazaga mengine yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sio lengo langu, relaxSasa si alipie tangazo ndio mazagazaga mengine yaendelee
Lengo ni lipi sasa ?Hilo sio lengo langu, relax
Sasa si alipie tangazo ndio mazagazaga mengine yaendelee
Kwa hiyo tukufate PM😃😃Jina tu natumia fake, ndio niweke tena namba za simu? Haiwezekani
Naondoa stress tu, humu jf ni sehemu ya mtu kusema jambo lolote ili tu kuondoa lile unalotamani watu wajue.Lengo ni lipi sasa ?
Kwa hiyo umeamua kusema ivo ili waje pm.Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.
Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.
Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.
Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.
Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.
Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.
Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana
Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.
Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Hapana, natoa tu ya moyoni. Hii account haipaswi kujuana na mtu yoyote humu ili kulinda image niliyonayo katika jamii.Kwa hiyo tukufate PM[emoji2][emoji2]
Kama taifa tuna kazi kuufikia uchumi wa viwanda.Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.
Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.
Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.
Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.
Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.
Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.
Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana
Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.
Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Account yako nyingine ni ipi ili usiharibu image yako mkuu😁😁Hapana, natoa tu ya moyoni. Hii account haipaswi kujuana na mtu yoyote humu ili kulinda image niliyonayo katika jamii.
Hivyo ondoa shaka
LolNaondoa stress tu, humu jf ni sehemu ya mtu kusema jambo lolote ili tu kuondoa lile unalotamani watu wajue.
Ningeandika kule Insta, watu wangenishambulia
Leo la huu uzi ni nn hasa?Moja ya kitu ambacho nakutana nacho sana inbox kule Instagram ni message za wadada, wakiomba namba ya simu wengine salamu.
Huenda ni sababu ya aina ya maisha nayopost kule au sikui kunijua, nashindwa kuelewa.
Lakini wengi wanaonitongoza siwajui kabisa na wengine ukiangalia profile zao na picha walizowahi kupost ni wake za watu kabisa.
Wengi nakutaga wamenitumia namba zao niwatafute.
Hii huwa inaniletea sana mgogoro na wife maana hushika simu yangu na Kuna muda huitumia kuingia Insta.
Hali hii iliwahi kunikuta zamani kidogo nikipokua natumia sana pia Facebook, Ila kwa sasa nimeacha kutumia.
Sijawahi kukutana na hali hii Jamii Forums, pengine sababu natumia fake ID. Lakini sijawah kukutana na hiyo hali.
Na kusema ukweli sijawahi kukubali wala kukutana na yoyote aliyewahi kunitongoza Insta, japo kuna muda huwa nataka kumshindwa shetani maana wengine ni mabinti wazuri na warembo sana unakuta wameacha ujumbe na namba ya simu. Mtihani sana
Kwa wiki naweza kukutana na ujumbe inbox kama 6 za kupendwa na kuombwa namba za simu.
Mimi hulka yangu sio mtu sana wa skendo wala kupenda sana wanawake japo nimewahi kucheat Ila sio sana, nampenda sana mke wangu na namheshimu sana. Ni mzuri na mrembo sana.
Mwamba anazunguka mbuyu[emoji2]Leo la huu uzi ni nn hasa?
Unataka utongozwe na wadada wa huku JF?
Ww funguka tu watakuja wenyewe
Hahaha hapana aisee [emoji23]
You too you better learn how to escape ban!😀Learn how to keep hands on yourself pal, this wasn't Manly!
Ha ha ha....Hahaha hapana aisee [emoji23]
Hao wa Instagram wanamtosha