Natongozwa sana na wadada Instagram

Lengo ni lipi sasa ?
Naondoa stress tu, humu jf ni sehemu ya mtu kusema jambo lolote ili tu kuondoa lile unalotamani watu wajue.
Ningeandika kule Insta, watu wangenishambulia
 
Kwa hiyo umeamua kusema ivo ili waje pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama taifa tuna kazi kuufikia uchumi wa viwanda.
 
Hapana, natoa tu ya moyoni. Hii account haipaswi kujuana na mtu yoyote humu ili kulinda image niliyonayo katika jamii.
Hivyo ondoa shaka
Account yako nyingine ni ipi ili usiharibu image yako mkuu😁😁
 
Leo la huu uzi ni nn hasa?

Unataka utongozwe na wadada wa huku JF?

Ww funguka tu watakuja wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…