NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana..

Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza kugombea tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, kimeacha alama ya fedheha kwa yeyote anayependa siasa za uwazi na demokrasia. Hatua hii imefungua pazia na kufichua uchi wa demokrasia ndani ya chama kinachojinasibu kupigania misingi ya haki na usawa.

Wengi walitarajia kwamba kwa ustaarabu wa hali ya juu, FAM angeamua kumuunga mkono TAL na hivyo kuondoa makandokando yanayoweza kugawa chama na kudhoofisha msingi wa demokrasia. Badala yake, hatua yake imeonyesha wazi kwamba anadhamiria kuendelea kutawala chama hicho ambacho amekiongoza kwa zaidi ya miongo miwili, Pasina Kuonyesha matunda yoyote jambo ambalo linaweza kuligharimu CHADEMA nafasi yake kama mbadala wa kweli wa CCM.

Tukumbuke kauli ya Barack Obama:

“A nation that wants to be strong in the future cannot have leaders who cling to power.”

"Taifa linalotaka kuwa na nguvu siku za usoni haliwezi kuwa na viongozi wanaoshikilia madaraka kwa nguvu."

CHADEMA sasa inakabiliwa na changamoto ya kupoteza uhalali wa kuwa chama cha demokrasia. Mienendo kama hii, ambapo viongozi wanashikilia madaraka kwa muda mrefu, inakidhalilisha chama mbele ya wapenda mabadiliko. Haiwezekani eti taifa likakubali kuongozwa na kiongozi ambaye anaonyesha dalili za kupenda utawala wa kiimla.

Kwa sasa, ni dhahiri kwamba kama FAM atapata nafasi ya kuongoza nchi hii "Maana nasikia Pia Anataka Kugombea Urais mwakani" (jambo ambalo haliwezekani), utawala wake unaweza kuwa mbovu kuliko hata ule wa viongozi waliokumbwa na ukosoaji mkubwa kama Robert Mugabe, Yoweri Museveni, au Idi Amin.

Kama John Adams alivyoandika:

“Because power corrupts, society's demands for moral authority and character increase as the importance of the position increases.”

"Kwa sababu madaraka hupotosha, jamii huhitaji maadili na tabia bora zaidi kadri nafasi ya uongozi inavyokuwa muhimu."

Hili linadhihirika wazi kwa FAM, ambaye licha ya kuwa mkongwe katika siasa za CHADEMA, ameonyesha uwezo mdogo wa uongozi wenye hisia (emotional intelligence) na maono mapana kwa manufaa ya chama na taifa.
maana Kwa sasa Taifa na CHADEMA ilimuhitaji TAL kuliko FAM kwa 100%

TAL, anajulikana na ana ushawishi mkubwa na ujasiri wa kisiasa, alionekana kuwa chaguo sahihi la kuleta uhai mpya kwa CHADEMA. Hata hivyo, nafasi yake imezimwa mapema kutokana na tamaa ya FAM kushikilia madaraka. TAL angeweza kuleta matumaini mapya kwa wanachama na taifa kwa ujumla, lakini kwa hali ya sasa, matumaini hayo yanaonekana kufifia.

Kwa sasa, CHADEMA ni chama Chemye mfano mbaya zaidi wa siasa za vyama vya upinzani. Badala ya kuwa mbadala wa CCM, kinazidi kuonekana kama chama kinachokumbatia utawala wa kiimla. Nafuu Kidogo ACT Wazalendo, ambao pia nao wanahusishwa na serikali kwa sababu wana serikali ya mseto Zanzibar, Kiukweli Chadema wamepoteza nafasi ya kuwa mpinzani wa kweli.

Kwa hali ilivyo, sitaki tena kukiita Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Kuanzia sasa, nitakiita Chama cha Kiimla na Maendeleo (CHAKIMA).

“Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely.”

"Madaraka huelekea kupotosha, na madaraka ya hali ya juu hupotosha kabisa." - Lord Acton

Kwa wapenda demokrasia wa kweli, huu ni wakati wa kutafakari mustakabali wa siasa za Tanzania na kuona ni wapi tunapokosea. Demokrasia si neno la kupamba hotuba; ni msimamo wa msingi unaohitaji vitendo, siyo ahadi tupu.

na wala sio Kuhonga watu wakulazimishe Ugombee Mitandaoni na Huku Ukijua wewe ndo unawashawishi kufanya hivyo..

#Mungu awabariki..
 
Demokrasia Imevuliwa Nguo sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana..

Karibu CDM ujifunze demokrasia usiyoipata CCM.
 
Halafu alivyo mjinga anasema suala la ukomo wa madaraka halina maana. Labda watu(wananchi/wajumbe) wamkatae kiongozi kwenye sanduku la kura.

Huku akifahamu fika viongozi wanaosimamia uchaguzi chadema ambao ni Kigaila, Mrema wapo upande wake na washaonyesha mapenzi nae hadharani. Sasa hapo uchaguzi utakua vipi wa huru na haki. Waombe watu huru wasimamie uchaguzi wao Ili amshinde Lissu kihallali.

Vinginevyo tuondoe ukomo wa madaraka kwenye nchi yetu Ili ikitokea Raisi akapendwa na wananchi agombee kadri apendavyo kama nikutolewa atolewe kwenye sanduku la kura.

Nawahurumia sana watu waliouwawa na kupotezwa ikiwa eti wanapigania CDM huku kiongozi wao wajuu akiwa ndio mwanasisiemu kipenyo anaewahadaa wanachama wenzio.

Lissu ningemshauri aachane na siasa, siasa za bongo zinahitaji watu wajinga kama kina Mbowe.
 
Hakuna mteremko, kwa nini mnamuhofia huyo jamaa yenu wa Singida?
#TukutaneKwaDebe
 
Ulipsema Chama chako cha CCM ndio unafiki ulipoanzia na unapoishia...

Wenye CCM hawajiiti mtandaoni Dr, au Prof au Eng... Wapo wanagawana madaraka na pesa

Siasa inabadilika sana kwa muda na wakati..
Hapana Tunajiita Mahali tusipofahamika..
Ila mahali tunapofahamika Huwezi kuta Najiita CCM kabisa kwa maana Siruhisiwi Kufanya Hivyo na Proffesional Yangu
 
Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana..

Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza kugombea tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, kimeacha alama ya fedheha kwa yeyote anayependa siasa za uwazi na demokrasia. Hatua hii imefungua pazia na kufichua uchi wa demokrasia ndani ya chama kinachojinasibu kupigania misingi ya haki na usawa.

Wengi walitarajia kwamba kwa ustaarabu wa hali ya juu, FAM angeamua kumuunga mkono TAL na hivyo kuondoa makandokando yanayoweza kugawa chama na kudhoofisha msingi wa demokrasia. Badala yake, hatua yake imeonyesha wazi kwamba anadhamiria kuendelea kutawala chama hicho ambacho amekiongoza kwa zaidi ya miongo miwili, Pasina Kuonyesha matunda yoyote jambo ambalo linaweza kuligharimu CHADEMA nafasi yake kama mbadala wa kweli wa CCM.

Tukumbuke kauli ya Barack Obama:

“A nation that wants to be strong in the future cannot have leaders who cling to power.”

"Taifa linalotaka kuwa na nguvu siku za usoni haliwezi kuwa na viongozi wanaoshikilia madaraka kwa nguvu."

CHADEMA sasa inakabiliwa na changamoto ya kupoteza uhalali wa kuwa chama cha demokrasia. Mienendo kama hii, ambapo viongozi wanashikilia madaraka kwa muda mrefu, inakidhalilisha chama mbele ya wapenda mabadiliko. Haiwezekani eti taifa likakubali kuongozwa na kiongozi ambaye anaonyesha dalili za kupenda utawala wa kiimla.

Kwa sasa, ni dhahiri kwamba kama FAM atapata nafasi ya kuongoza nchi hii "Maana nasikia Pia Anataka Kugombea Urais mwakani" (jambo ambalo haliwezekani), utawala wake unaweza kuwa mbovu kuliko hata ule wa viongozi waliokumbwa na ukosoaji mkubwa kama Robert Mugabe, Yoweri Museveni, au Idi Amin.

Kama John Adams alivyoandika:

“Because power corrupts, society's demands for moral authority and character increase as the importance of the position increases.”

"Kwa sababu madaraka hupotosha, jamii huhitaji maadili na tabia bora zaidi kadri nafasi ya uongozi inavyokuwa muhimu."

Hili linadhihirika wazi kwa FAM, ambaye licha ya kuwa mkongwe katika siasa za CHADEMA, ameonyesha uwezo mdogo wa uongozi wenye hisia (emotional intelligence) na maono mapana kwa manufaa ya chama na taifa.
maana Kwa sasa Taifa na CHADEMA ilimuhitaji TAL kuliko FAM kwa 100%

TAL, anajulikana na ana ushawishi mkubwa na ujasiri wa kisiasa, alionekana kuwa chaguo sahihi la kuleta uhai mpya kwa CHADEMA. Hata hivyo, nafasi yake imezimwa mapema kutokana na tamaa ya FAM kushikilia madaraka. TAL angeweza kuleta matumaini mapya kwa wanachama na taifa kwa ujumla, lakini kwa hali ya sasa, matumaini hayo yanaonekana kufifia.

Kwa sasa, CHADEMA ni chama Chemye mfano mbaya zaidi wa siasa za vyama vya upinzani. Badala ya kuwa mbadala wa CCM, kinazidi kuonekana kama chama kinachokumbatia utawala wa kiimla. Nafuu Kidogo ACT Wazalendo, ambao pia nao wanahusishwa na serikali kwa sababu wana serikali ya mseto Zanzibar, Kiukweli Chadema wamepoteza nafasi ya kuwa mpinzani wa kweli.

Kwa hali ilivyo, sitaki tena kukiita Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Kuanzia sasa, nitakiita Chama cha Kiimla na Maendeleo (CHAKIMA).

“Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely.”

"Madaraka huelekea kupotosha, na madaraka ya hali ya juu hupotosha kabisa." - Lord Acton

Kwa wapenda demokrasia wa kweli, huu ni wakati wa kutafakari mustakabali wa siasa za Tanzania na kuona ni wapi tunapokosea. Demokrasia si neno la kupamba hotuba; ni msimamo wa msingi unaohitaji vitendo, siyo ahadi tupu.

na wala sio Kuhonga watu wakulazimishe Ugombee Mitandaoni na Huku Ukijua wewe ndo unawashawishi kufanya hivyo..

#Mungu awabariki..

Kwa taarifa yako pamoja na Mbowe kuzingua, wangalau sasa tunaona demokrasia ya kweli ya ushindani ndani ya cdm kuliko ya kile chama cha fomu moja. Tunaomba uandaliwe mdahalo wa wazi kati ya wagombea wa cdm ili tuone mipango ya hao wagombea. Maana kwa sasa ushindani wa kisiasa umeshaharibiwa na ccm, uchaguzi wa cdm ndio umebaki pekee wenye sura ya demokrasia.
 
Kutoa fomu moja ya uenyekiti ndo msingi wa demokrasia si bora hata chadema wanatoa nyingi
 
Halafu alivyo mjinga anasema suala la ukomo wa madaraka halina maana. Labda watu(wananchi/wajumbe) wamkatae kiongozi kwenye sanduku la kura.

Huku akifahamu fika viongozi wanaosimamia uchaguzi chadema ambao ni Kigaila, Mrema wapo upande wake na washaonyesha mapenzi nae hadharani. Sasa hapo uchaguzi utakua vipi wa huru na haki. Waombe watu huru wasimamie uchaguzi wao Ili amshinde Lissu kihallali.

Vinginevyo tuondoe ukomo wa madaraka kwenye nchi yetu Ili ikitokea Raisi akapendwa na wananchi agombee kadri apendavyo kama nikutolewa atolewe kwenye sanduku la kura.

Nawahurumia sana watu waliouwawa na kupotezwa ikiwa eti wanapigania CDM huku kiongozi wao wajuu akiwa ndio mwanasisiemu kipenyo anaewahadaa wanachama wenzio.

Lissu ningemshauri aachane na siasa, siasa za bongo zinahitaji watu wajinga kama kina Mbowe.
Hakuna kitu cha bure unataka jambo lipiganie
Tundu lisu kapewa fomu na karudisha bila figisu unataka chama kifanye nini au anataka apite bila kupingwa
 
Kwa taarifa yako pamoja na Mbowe kuzingua, wangalau sasa tunaona demokrasia ya kweli ya ushindani ndani ya cdm kuliko ya kile chama cha fomu moja. Tunaomba uandaliwe mdahalo wa wazi kati ya wagombea wa cdm ili tuone mipango ya hao wagombea. Maana kwa sasa ushindani wa kisiasa umeshaharibiwa na ccm, uchaguzi wa cdm ndio umebaki pekee wenye sura ya demokrasia.
Unafikiri TL anaweza kushinda Ikiwa Uongozi karibu wote ni Machawa wa Mwenyekiti?
UMeona Jinsi wanavyoporomosha Maneno ya Kashfa Mtandaoni?

NIkuulize kama NTOBI angemtukana Mwenyekiti angeendelea Kuwa Kiongozi Mwandamizi wa Mkoa?
 
Kutoa fomu moja ya uenyekiti ndo msingi wa demokrasia si bora hata chadema wanatoa nyingi
Form Moja ya Uenyekiti Wa CCM ni tofauti kabisa na Chadema..
CCM ni chama kilichopo Madarakani Na ili Uongozi uende sawa Hakuwzi kuwa na Mwenyekiti Tofauti na Rais so By Default mwenyekiti wa CCM huwa ni Lazima awe Rais wa Jamhuri ili apate Power ya Kuongoza Chama na Serkali..
 
20241221_224057.jpg
 
Back
Top Bottom