NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

Unafikiri TL anaweza kushinda Ikiwa Uongozi karibu wote ni Machawa wa Mwenyekiti?
UMeona Jinsi wanavyoporomosha Maneno ya Kashfa Mtandaoni?

NIkuulize kama NTOBI angemtukana Mwenyekiti angeendelea Kuwa Kiongozi Mwandamizi wa Mkoa?
Sio lazima Tundu Lisu ashinde, cha muhimu ni uchaguzi wa haki. Na hata kama Tundu Lisu atashindwa bado mageuzi aliyoahidi yatatokea ndani ya cdm. Ntobi ametukana na ameomba msamaha. Hiyo ndio demokrasia.
 
Sio lazima Tundu Lisu ashinde, cha muhimu ni uchaguzi wa haki. Na hata kama Tundu Lisu atashindwa bado mageuzi aliyoahidi yatatokea ndani ya cdm. Ntobi ametukana na ameomba msamaha. Hiyo ndio demokrasia.
Ntobi Msamaha wake ni Wa Kinafiki maana Bado ameendelea Kutoa Kashafa Baada ya Hapo soma Post zake za jana
 
CCM DAIMA
 
Pamoja na maovu ya CCM lakini wanabadilishana madaraka angalau unaona ladha tofauti kidogo, hii ya ndugu yangu Mbowe hapana hapana hapana
 
Kwa CDM hii hapana hii ni mali binafsi ya Mbowe
 
Binafsi, kitendo cha kiongozi mkubwa wa Chama kuchaguliwa/kupitishwa na watu wachache such as central committee ni ukiritimba. Ipendekezwe upya maamuzi ya mustakabali wa Chama yapitishwe na mkutano mkuu, ili kuondoa sintofahamu.
 
Hapo umechemka mkuu hivi kama wewe unashambuliwa na msaidizi wako WA kazi then umuunge mkono!???
 
Hapo umechemka mkuu hivi kama wewe unashambuliwa na msaidizi wako WA kazi then umuunge mkono!???
Lazma Uone Kuna Shida Haiwezekani Mtu mmoja akawa anashambuliwa na wote haoo..

Kipindi. Ha Uchaguzi wa Mwenyekiti mwaka 2009 ilikuwa hivi hivi kwa chacha wangwe..

Mwaka 2012 Ilikuwa Hivi hivi kwa zitto kabwe Na Sasa Ni hivi hivi kwa Lissu..
NA mwaka 2013 na 2014 Kina Kitila Mkumbo et al ..

Hapana Mbowe ana tatizo tena Kubwa na watu walio karibu yake hawamuambii
 
Wacha Kura ipigwe na iwe wazi na haki.kwa mtazamo wangu kama TL akishinda chama kitapotea uongozi ni subira,hekima na busara
 
Ulichoandika hakiendani na misingi ya demokrasia mfano chama cha ANC mwenyekiti anaweza kuwa mtu mwingine na Rais mwingine

Unasemaje haiwezekani sema tu ccm ya leo ndo hawawezi mwaka 1985 mpaka 1990 mwenyekiti wa ccm alikuwa nyerere huku Rais akiwa mwinyi
 
Mtu kushinda changamoto unasema kuna tatizo
Mazingira ya siasa za Tanzania ni ya kihuni sana angalia dola ilichofanya mwaka 2019, 2020, na 2024 kwenye hizo chaguzi sasa kama wameweza kwenye national stage sembuse kwenye chama ambacho kuna kiongozi dhaifu

Mbowe ameingia gharama kubwa sana na kumbuka account zilifunguliwa baada ya samia kuwa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…