Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Akijibu na yeye ni kilema unitagWewe ni kilema umepona?
Sawa mkuuakijibu na yeye ni kilema unitag
Sio pahala sahihi hapa kutangaza biashara...Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Daaah ndugu yangu, Elimika ndugu hao ni Usanii unafanyika hapo au labda nikuambie ukweli hayo ni maigizo tu hayana uhalisia wowote nduguKama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Wote hawa wamelipwa?Kwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
Kasome Marko 13 kuanzia mstari wa.5Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,Daaah ndugu yangu, Elimika ndugu hao ni Usanii unafanyika hapo au labda nikuambie ukweli hayo ni maigizo tu hayana uhalisia wowote ndugu
Kiufupi huo ni Utapeli tu wa kutafuta pesa, acha utoto wa kuabudu ujinga huoKama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Yani utapeli kivipi? Taja factKiufupi huo ni Utapeli tu wa kutafuta pesa, acha utoto wa kuabudu ujinga huo
Hao wamelipwa kuigiza ndugu, ukitaka kujua ni kweli mchukue mlemavu unaemfahamu uone kama ataponaWote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,