Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .
chief achana na kuamini hawa waganga wa jadi waliochangamka umeanza kumuamini nabii badala ya kumuamini Mungu na neno lake. ijue kwelii inayosemwa kwenye biblia nayo itakuweka huru utatoka kwny utumwa wa kuzunguka na vichupa vya mafuta kama unapiga ramli.

Hawa hawana tofauti na wanganga wa kienyeji. usidanganywe na mapicha picha ya miujiza hata wachawi na waganga wanafanya miujiza ijue kwelii itakuweka huru!!!!.
 
Namuamini mungu,ila mwamposa ni nabii wa mungu
 
Back
Top Bottom