Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
wewe acha kutudanganya hapaUponyaji wa kiimani haendi kwa utaratibu unao taka wewe..wenye uhitaji walio naimani ndio wanaopata uponyaji.
Karibu kesho ukanyage mafuta dodoma.
#MaendeleoHayanaChama
haya bwana . ndiyo muwauzie maji, mafuta nk?Injili haiwezi kwenda bila kuwezeshwa..unadhani ni rahisi sana kuendesha ministry kubwa kama hiyo ya mtume na Nabii Mwamposa??acha kujitoa akili kama wewe tu hapo kwako unahitaji pesa kuendesha familia iweje kwa ministri kama hiyo ya Mwamposa.
Acheni wivu wa kike.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe ambaye sio muhuni umewasaidia nini hao wahitaji na wenye matatizo.wewe acha kutudanganya hapa
ina maana mtu ana matatizo mfano cancer ukimpiga neno kisha ukamponyesha si ndiyo imani yenyewe hiyooo?
kila kijiji hakikosi kuwa na walemavu na wagonjwa mbona wale mnaoponya mfano viwete wanatoka mbali?
yaani huyo mwamposa anatangazia dunia kwamba ana ponya ukimwi
uhuni tu
hahaha.Wewe ambaye sio muhuni umewasaidia nini hao wahitaji na wenye matatizo.
Acha wivu wa kike...
acha kulia anza kuamini.
#MaendeleoHayanaChama
Hakika Wema na Utukufu ni Wa Mwenyenzi Mungu MtakatifuKama kakutuma Ili umpigie Promo hapa rudi Kwake kamwambie GENTAMYCINE namuuliza kama anatibu Vilema Wote mbona Mdogo wake wa Damu ( toka nitoke ) ana Ulemavu ila ameshindwa Kumponyesha?
Mpe pongezi zangu nyingi kwa Siku hizi kuwahama Wanaijeria na sasa Kutumia zaidi 'Ndumba' Kali kutoka Congo DR na Mozambique ambazo zinamsaidia Kuvutia Watu na Kuponya Watu Kiuchawi ( Kiunyangindo )
Mwambie kuwa haya huwa na mwisho.
Wabongo hamna dogo..angekua analeta umati mkubwa kama huo na akawa kapuku hohe hahe mgeanza maneno kumzodoa.haya bwana . ndiyo muwauzie maji, mafuta nk?
unalijua jumba la kakobe pale mbezi beach/kawe/rainbow?
unalijua hekalu la kakobe kule salasala kinzudi ?
Sawa kinachokuuma nini sasa..kuhoji wakati umejazwa maneno ya mitaani...kubali kubadilika wahafidhina huwa mnatabu sana.hahaha.
hnachekesha kweli wewe.... kuhoji jambo nako ni wivu wa kike? pole mm siyo mwanakondoo
kuhoji mambo sio uhafidhina mkuu. labda kama neno lenyewe limepata tafsir nyingine ya TUKISawa kinachokuuma nini sasa..kuhoji wakati umejazwa maneno ya mitaani...kubali kubadilika wahafidhina huwa mnatabu sana.
Acha kulia anza kuamini.
#MaendeleoHayanaChama
Sawa ila ukitaka kuhoji jaribu kumsikiliza mahubiri yake sio kusikiliza story za mitaani.kuhoji mambo sio uhafidhina mkuu. labda kama neno lenyewe limepata tafsir nyingine ya TUKI
nasikiliza nikiwa kwenye public. hana lolote yule mwizi tuSawa ila ukitaka kuhoji jaribu kumsikiliza mahubiri yake sio kusikiliza story za mitaani.
#MaendeleoHayanaChama
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Chagueni Leo mtayemtumikia, Lakini Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu.Hata kipindi YESU KRISTO alipoishi kama mwanadamu walimuona waliishi nae lakini hawakuamini...
Ila mimi na nyumba yangu nitamwabudu YESU KRISTO milele
Aiseee !!Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .
Ni vizuri ungetufahamisha mtu ajulikanaye mtaani kwako ambaye ameponywa.Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hayo maigizo yenu.
yaani uwe kilema (mlemavu wa viungo), halafu from nowhere, utembee kwa sababu ya kuombewa na Mwamposa!!
Magongo yenyewe karibia yote yanaonekana kuwa ni mapya! Hakika hii nchi ina wajinga wengi kweli kweli. Wacha tu ccm iendlee kunufaika kupitia huu ujinga wa Watanzania walio wengi.