Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
wewe acha kutudanganya hapaUponyaji wa kiimani haendi kwa utaratibu unao taka wewe..wenye uhitaji walio naimani ndio wanaopata uponyaji.
Karibu kesho ukanyage mafuta dodoma.
#MaendeleoHayanaChama
ina maana mtu ana matatizo mfano cancer ukimpiga neno kisha ukamponyesha si ndiyo imani yenyewe hiyooo?
kila kijiji hakikosi kuwa na walemavu na wagonjwa mbona wale mnaoponya mfano viwete wanatoka mbali?
yaani huyo mwamposa anatangazia dunia kwamba ana ponya ukimwi
uhuni tu