Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Hivyo vita utakayokua umeianzisha unaweza kuishia kuuawa mzee
 
Tangu mwaka juzi Mke wangu alikuwa na shida kubwa ya macho kuuma sana,
Miwani keshabadilisha sana, dawa keshanunua sana lkn wapi,
Siku tatu za injili ya mwamposa Bukoba,
Sasa mke wangu anashuhudia uponyaji Wa macho kwa jina la YESU KRISTO.
 
Wajinga ndiyo waliwao... Kalagabahooo.
 
Weee jamaa utakua msomi sana, Kama siyo msomi sana bas akili yako kubwa inazidi wasomi wengi
 
Una tatizo la Afya ya akili.
Nyie wote ni wapumbavu wakubwa,anayeponya magonjwa ni YESU KRISTO mwana wa Mungu, Mwamposa ni mtumishi wa Mungu anayemwakilisha YESU,kaeni na maukimwi yenu msubiri kifo tu majuha nyie wakati kuna uponyaji wa Bure kabisa
 
Nilifikiri wewe ndiye Mlemavu umekuja kutoa ushahidi.

Mtafute Mlemavu yeyote aliyeponywa akiwa na ushahidi wa Ndugu, Jirani, Marafiki, aliosoma nao n.k aje atoe ushuhuda humu yeye Mwenyewe.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Teh ! Teh ! Teh ! Tehteeeeh !!!
 
Uponyajinwa mchongo ,hiyo ni muhimu km wahuni km wahuni wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…