Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ebu tafuta actor mmoja aje atoe ushuhuda hapa.Mbona magongo yote yaliyotupwa ni yanaonekana kuchongwa siku hiyohiyo (mapya), huo uwete ulikuwa unamngoja Mwamposa. Hayo magongo yalichongeshwa na Mwamposa na kugawiwa watu (actors) maalumu ili washiriki kwenye uongo na udanganyifu wa kupona.
Ujinga upi mkuuUjinga ni kipaji
Rise and shine ni nini, ni ya nani?Mkuu angali shuhuda mbLimbLi zinazotolewa kupitia rise and shine utajua jamaa anasaidia kias gn.
Unamaanisha wayahudi wa Israeli? Mpaka Leo hawamuamini lakini wanaitwa wateule wa huyohuyo wasiyeuamini. Mambo ya Imani ni magumu Sana.Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .
I do not care, they can all be fools
Unakufuru mkuuRise and shine ni nini, ni ya nani?
Unafuatilia miujiza feki ya TB Joshua ilivyopangwa na sasa hivi watu wanafunguka kwamba ilipangwa?
HahaaYaan TB Joshua kawafumbua watu macho Ila mazombi hawaelewi
Kukufuru maana yake ni nini?Unakufuru mkuu
Wajinga ndio waliwaoKama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Et eWajinga ndio waliwao
BuldozerrMkuu,
Nakuunga mkono.
Kwanza kabisa hatujafanya hesabu ya watu wangapi wanamuamini na wangapi hawamuamini.
Lakini pia, hata kama wengi wanamuamini.
Hii ya "watu wangapi wanamuamini" ni logical fallacy.
Inaitwa "appeal to populism".
Kitu kuaminiwa na wengi haina maana ni kweli.
Kwa sababu wengi wanaweza kuwa wajinga pia kama ulivyosema.
Jinga weweKama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
ok, ok. Halafu magongo ya "vilema" yote ni magongo mapyaKama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Angalia pichaok, ok. Halafu magongo ya "vilema" yote ni magongo mapya
Acheni utapeliKama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
We jamaa ni mjinga sana tena sana. HAo "vilema fake" na magongo yao mapya hata hamsini hawafiki inashindikana vipi kuwalipa ?Wote hawa wamelipwa?
View attachment 2387085
Ungemshauri atembelee hospital. Aponeshe wagonjwa aipunguzie serekali mzigoWote hawa wamelipwa?
View attachment 2387085