Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Mbona magongo yote yaliyotupwa ni yanaonekana kuchongwa siku hiyohiyo (mapya), huo uwete ulikuwa unamngoja Mwamposa. Hayo magongo yalichongeshwa na Mwamposa na kugawiwa watu (actors) maalumu ili washiriki kwenye uongo na udanganyifu wa kupona.
Ebu tafuta actor mmoja aje atoe ushuhuda hapa.
 
I do not care, they can all be fools

Mkuu,

Nakuunga mkono.

Kwanza kabisa hatujafanya hesabu ya watu wangapi wanamuamini na wangapi hawamuamini.

Lakini pia, hata kama wengi wanamuamini.

Hii ya "watu wangapi wanamuamini" ni logical fallacy.

Inaitwa "appeal to populism".

Kitu kuaminiwa na wengi haina maana ni kweli.

Kwa sababu wengi wanaweza kuwa wajinga pia kama ulivyosema.
 
Buldozerr
 
Punguzeni kutapeli watu nyie wajinga. Waoneeni huruma watanzania.
 
Back
Top Bottom