Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
- Thread starter
- #401
Bila ela injil itasambazwa vpHapo chini mi naona maandishi tu tuma kwa mpesa, airtel money, tigo pesa n. k nabaki na maswali mengi sana bila majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila ela injil itasambazwa vpHapo chini mi naona maandishi tu tuma kwa mpesa, airtel money, tigo pesa n. k nabaki na maswali mengi sana bila majibu
Mbona sadaka zipo za aina nyingi tu hasa ile ya kujimaliza kabisa unabaki na buku tu ya pikipiki?Bila ela injil itasambazwa vp
😂😂😂haya ni mazingaumbwe brother. ndo maana hakuna neno linaloubiriwa bali ni usani sanii tu
Sema mnamwinua nyie. ndo maana mnampa utukufu hata Yesu mmeshasahau km anaexist hili la kumpa utukufu na yeye kujipa utukufu ni ishara kubwa si nabii wa kweli wa Mungu. anayestahili kutukuzwa kupewa sifa na utukufu ni Yesu si nabii yeyote yule. hata Yesu alivyokuwa duniani aliishi kwa unyenyekevu mkubwa na wakt mwngine alifanya miujiza alitaka watu walisifu jina la Mungu wasimuangalie yeye na ndio maana alidiriki kuwaambia wengine nendeni mkawaambie mataifa ukuu wa Mungu alikuwa soo hamble ila si haya makidai ya hawa manabii uchwaraMwamposya ana wito wake na Mwakasege ana wa kwake
Kila mmoja anatakiwa kusimama eneo lake aliloitiwa full stop
Umeitwa kuhubiri neno la Mungu hubiri Nemo la Mungu usihubiri Mwamposya
Hukuitwa kuhubiri habari za Mwamposya
Mimi muumini wa Mwamposya. Hajawahi hata siku moja kumsema mtumishi yeyote au kuponda yeyote ndio maana Mungu anamwinua
Kanisani kuna watu toka madhehebu yote wawe ya Kikristo hadi waislamu
Hahangiiki na mtumishi yeyote kasimama kama Paulo anaangalia Mede ya mbele tu aliyoitiwa wito wake
Tatizo watumishi wengi hawana focus ya nini wameitiwa na wengi hawajui sababu hawakusikia sauti ya Mungu
Tatizo la ajira na kutafuta utukufu na heshima sababu walipo wanaona hawashimiwi na hela ndio zinakuwa sifa muhimu kwao na vichocheo vya wao kwenda vyuo vya Biblia ,vyuo vya theolojia nk
Lakini hawana sauti ya Mungu iliyowaita !!!
HayakuhusuSema mnamwinua nyie. ndo maana mnampa utukufu hata Yesu mmeshasahau km anaexist hili la kumpa utukufu na yeye kujipa utukufu ni ishara kubwa si nabii wa kweli wa Mungu. anayestahili kutukuzwa kupewa sifa na utukufu ni Yesu si nabii yeyote yule. hata Yesu alivyokuwa duniani aliishi kwa unyenyekevu mkubwa na wakt mwngine alifanya miujiza alitaka watu walisifu jina la Mungu wasimuangalie yeye na ndio maana alidiriki kuwaambia wengine nendeni mkawaambie mataifa ukuu wa Mungu alikuwa soo hamble ila si haya makidai ya hawa manabii uchwara
hahaha umeshindwa kujibu kuhusu kujipa utukufu nilikujua tuu hii spana huwez chomoka nayo. unaishia kutukana punguza jazba mzee njoo na fact twende na factHayakuhusu
Amini unachoamini na mimi niachie ninachoamini
Katiba ya nchi imetoa uhuru wa kuabudu
Mtu anaruhusiwa kuabudu chochote hata mavi kama Mungu bila kuingiliwa uhuru wake na yeyote
Ndio maana Tanzania kuna waabudu mizimu,Wahindi waabudu ng'ombe nk na Serikali Haina shida nao sababu Serikali Haina dini
Hangaika na hicho kidini chako Sisi waumini wa Mwamposya kaa mbali na sisi
Kama ni shamba Kazana kulima shamba lako usiangalie na kukaa kupiga yowe mtu kwenye shamba lingine ohhh mjinga yule analimaje halimi vizuri!! Hali kwako,halali kwako pambana na shamba lako
Ni aibu mtoto wa kiume kuwa mumbeya kutwa kuongea habari za Majirani wawe jirani zako Mwamposya au yeyote
Acha umbeya mtoto wa kiume huna yako ya kufanya? Leave Mwamposya alone.
Tuachie waumini wake hopeless wewe
Sasa unakufuru, unamwangalia Mungu au Mwamposa. Mwamposa ni tapeli tu mwenye kuhubiri utajirisho badala ya kuhubiri imani. Kama anajuwa sala na imani kupitia kwake vinaleta utajiri, kwa nini asiombe yeye akaupata kuliko kuweka tozo. Maana kila ombi lake lina tozo, utafikiri serkali ya SSH.HV hiz hela l anazopiga mwamposa kila siku mwasema anapiga pesa na hazijamtosha mpk Leo siyo kweli anapiga pesa jamaa Ana kitu ya kiungu ndani yake maimpuuze mkazanieni na mfatilie masoma yake na vitendo vyake vya kiiimani
tumshukuru mungu kwa maisha ya mwamposa sisi hatujui lolote mungu Ni wew tunakuangalia utasaidie na kutuepusha Kam Ni wako bas lidhirike pia
Yeye anatoa neno, anatoa uponyaji, hawez kubaki na karamuSasa unakufuru, unamwangalia Mungu au Mwamposa. Mwamposa ni tapeli tu mwenye kuhubiri utajirisho badala ya kuhubiri imani. Kama anajuwa sala na imani kupitia kwake vinaleta utajiri, kwa nini asiombe yeye akaupata kuliko kuweka tozo. Maana kila ombi lake lina tozo, utafikiri serkali ya SSH.
sasa si atoe buree maana biblia inasema toeni bure mmepata bure. km ameitwa na Mungu asiwadanganye kwa kuwaitisha pesa hivi wakina petro, paulo, fikipo waanzilishi wa kanisa la kwanza walikuwa wanafanya miujiza mingi ila walikuwa hawataki kupokea hela yoyote. leo hii nabii anaweka mpk hela ya kumuona dah😂😂😂Yeye anatoa neno, anatoa uponyaji, hawez kubaki na karamu
Ina maana wewe huna imani? Kama ungekuwa nayo ungekubali kuwa CHAWA wa Mwamposa? Mungu angekuteremshia utajiri, akuondolee udhia wa kuwa CHAWA wa Mwamposa. UCHAWA utakumaliza!Imani ndio dawa kinacchoponya ni iman na sio Mwamposa na inatakowa uwe na imani kweli kweli kuamini yan usi doubt hata dakika moja amini utapona hata ka unasali chumban kwako kikubwa uwe na moyo safi..,
Wengi sala zetu haziendi kwa kuwa tuna doubt na tunasali huku tuna dhambi....
Pamoja na kusema hivi ila naamin Mungu anaponya kupitia sisi binadamu huku dunian na sio muujiza wa Ghafla bin vuu ka enzi za Yesu.
Yaan ka ulikua mgonjwa ukasali kwa iman labda Mungu atakukutanisha na daktari mzuri, au ka ulikua huna kazi Mungu atakuongoza kwny connection, ka hvo ulikua kiwete Mungu atakuongoza kwa dokta mzuri wa mfupa ila mambo ya Ghafla bin vuu hayo aliweza Yesu tu...
TUJITAHD KUSALI KWA IMANI TUKIWA WASAFI BILA DHAMBI MUNGU ATATUONA HATA KA UNASALI CHUMBANI KWAKO
Kama vile MPYA vile!! Zilitumika siku moja tu au !!!!????Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Mm sijamkufuru mungu Wala kumkumfuru roh mtakatifu Ni mtizamo wangu nimeutoa dhid yake kuwasasa si atoe buree maana biblia inasema toeni bure mmepata bure. km ameitwa na Mungu asiwadanganye kwa kuwaitisha pesa hivi wakina petro, paulo, fikipo waanzilishi wa kanisa la kwanza walikuwa wanafanya miujiza mingi ila walikuwa hawataki kupokea hela yoyote. leo hii nabii anaweka mpk hela ya kumuona dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Waanzishie mchezo wa bahati nasibu ili kuhakikisha hiloWote huko ni wendwzm tu
Nchi hii ina wapmbv na wjng wengi sana
Ova
Hahaha yaani hata mimi nimeshangaa. Inakuwaje wote wawe na magongo mapyaNitakuwa mtu wa mwisho kuamini hayo maigizo yenu.
yaani uwe kilema (mlemavu wa viungo), halafu from nowhere, utembee kwa sababu ya kuombewa na Mwamposa!!
Magongo yenyewe karibia yote yanaonekana kuwa ni mapya! Hakika hii nchi ina wajinga wengi kweli kweli. Wacha tu ccm iendlee kunufaika kupitia huu ujinga wa Watanzania walio wengi.
Hapo huweZ ona vzrHahaha yaani hata mimi nimeshangaa. Inakuwaje wote wawe na magongo mapya
Wenyeji wa huko ndio wanajuaKama vile MPYA vile!! Zilitumika siku moja tu au !!!!????
Mbona magongo ni mengi kuliko walemavu? Alafu, kwa nini kila mlemavu asishikilie gongo lake. Yaani hata ukiangalia nyuma hakuna wingi wa walemavu kulingana na magongo.FIGISU HIZO. CHAWA LETA LINGINE.Mkuu twende kwa fact, kama huna fact basi muamini mwamposa.