Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Where is TB Joshua's Church? He has gone with it....na mengine mengi. History haina tabia ya kusema ulaghai
 
Kwahiyo wewe ambaye halaghai utaishi milele?kila mtu lazima aondoke ila anaondokaje au ameacha effects gani katika ulimwegu hili ndilo la msingi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila nayehubiriwa ni nani..?au yeye mwamposa ana biblia yake kutoka mbeya..??

#MaendeleoHayanaChama
hujui shetani ana fake kila kitu cha kimungu na kutengeneza copy yake?. ingekuwa anahubiriwa Mungu angepewa utukufu yeye ushawahi ona hata neno linatamkwa la kwny biblia katika makongamano zaidi ya miujiza.
 
nabii na mtu aliyeitwa kwa kazi ya Mungu anampa utukufu Mungu na si binadamu au yeye mwnyw ukiona kwny ibada kongamano au yeyote anayesema anafanya kazi ya Mungu anajisifia mwnyw na kujitaja yeye pale anapoponya au watu wakaribu kumsifia yeye.. in short anajitolea utukufu toka nduki huyo ni wakala wa shetani si wa kiMungu huyoo

Nilitegemea km anaponya kwa jina la Yesu amtaje yesu na hata nyie vibaraka wake mngekuja na andiko la kusifia ukuu wa Yesu namna nguvu zake zinazofanya makuu badala yake mnamsifia mtu
 
Hao manabii na mitume unao waamini walisomea chuo gani wakapata digrii ya thiologia? ?

#MaendeleoHayanaChama
chief sijawahi amini. imani ya wanabii wala mitume wa mazingaumbwe mm ni mlokole mchanga sana ila kwa uchanga wangu siwez yumbishwa kwa mafuta na vimazingaumbwe vya hapa na pale maana biblia naijua kwa kiasi chake na naisoma hayo unayoyaona anafanya huyo nabii wako mpk unamsifia ni mazingaumbwe tu.

ukiijua kweli itakuweka huruu. usipende baraka zisizofwata principle wenzako wakalinda wanaopenda vitu vya bure bure na rahisi rahisi walipigwa hivi hivi.. muamini kristo, kuwa mwaminifu kwa kulisoma na kuliamini neno lake na utende kulingana na anavyokuagiza utabarikiwa tu.. baraka zitakufwata mwnyw soma
kumbu la torati 28:2
 
hujui shetani ana fake kila kitu cha kimungu na kutengeneza copy yake?. ingekuwa anahubiriwa Mungu angepewa utukufu yeye ushawahi ona hata neno linatamkwa la kwny biblia katika makongamano zaidi ya miujiza.
Duuh..shida hamtaki kuchunguza mmebaki kujisemea mnayoyasikia mitaani..mwamposa hawezi anza huduma ya kuombea na uponyaji bila kufundisha neno la Mungu kupitia biblia..lazima atoe mafundisho kisha huduma ya maombezi inafuata na mara zote Hulitaja jina La Yesu kristo.

Nakushauri acha kulia anza kuamini.

Na usisikie maeneo fanya utafiti.

#MaendeleoHayanaChama
 
chief sijawahi amini. imani ya wanabii wala mitume wa mazingaumbwe mm ni mlokole mchanga sana ila kwa uchanga wangu siwez yumbishwa kwa mafuta na vimazingaumbwe vya hapa na pale maana biblia naijua kwa kiasi chake na naisoma hayo unayoyaona anafanya huyo nabii wako mpk unamsifia ni mazingaumbwe tu.

ukiijua kweli itakuweka huruu. usipende baraka zisizofwata principle wenzako wakalinda wanaopenda vitu vya bure bure na rahisi rahisi walipigwa hivi hivi.. muamini kristo, kuwa mwaminifu kwa kulisoma na kuliamini neno lake na utende kulingana na anavyokuagiza utabarikiwa tu.. baraka zitakufwata mwnyw soma
kumbu la torati 28:2
Huo ni uhafidhina unaokusumbua..ruhusu akili yako kukubali vitu vipya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahiyo wewe ambaye halaghai utaishi milele?kila mtu lazima aondoke ila anaondokaje au ameacha effects gani katika ulimwegu hili ndilo la msingi.

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna mwanadamu anaishi milele. Haya makanisa yenu ya kupigia hela yanaisha fastaa baada ya wanaoyaanzisha kuishia. Ndio hayana systems. Ni ujanja ujanja tu.
 
nasubiri siku aende muhimbili au ocean road akaponye japo mmoja tu
 
Duuh..shida hamtaki kuchunguza mmebaki kujisemea mnayoyasikia mitaani..mwamposa hawezi anza huduma ya kuombea na uponyaji bila kufundisha neno la Mungu kupitia biblia..lazima atoe mafundisho kisha huduma ya maombezi inafuata na mara zote Hulitaja jina La Yesu kristo.

Nakushauri acha kulia anza kuamini.

Na usisikie maeneo fanya utafiti.

#MaendeleoHayanaChama
Na ukiamua kuombea watu ni lazima uwalipishe?? Mitume kama akina Yesu au Muhammad unakuta yeye mmoja anawaponya na kuwasaidia maelfu ya wafuasi wake. Mitume wa sasa yeye mmoja wafuasi wake kwa mamia eti wanamchangia na kumfanya aishi kitajiri kweli kweli..
 
Hakuna mwanadamu anaishi milele. Haya makanisa yenu ya kupigia hela yanaisha fastaa baada ya wanaoyaanzisha kuishia. Ndio hayana systems. Ni ujanja ujanja tu.
Sawa yataisha ila jiulize yameacha impact gani kubwa kwa watu..jibu unalo..sasahivi mwamposa anakusanya umati kuzidi hata mikutano ya kisiasa achilia mbali makongamano ya hizo dini zenu za kihafidhina.

Dj mlete Mtume na Nabii Mwamposa akitoke Dodoma.

#MaendeleoHayanaChama
 
nasubiri siku aende muhimbili au ocean road akaponye japo mmoja tu
Uponyaji wa kiimani haendi kwa utaratibu unao taka wewe..wenye uhitaji walio naimani ndio wanaopata uponyaji.

Karibu kesho ukanyage mafuta dodoma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na ukiamua kuombea watu ni lazima uwalipishe?? Mitume kama akina Yesu au Muhammad unakuta yeye mmoja anawaponya na kuwasaidia maelfu ya wafuasi wake. Mitume wa sasa yeye mmoja wafuasi wake kwa mamia eti wanamchangia na kumfanya aishi kitajiri kweli kweli..
Injili haiwezi kwenda bila kuwezeshwa..unadhani ni rahisi sana kuendesha ministry kubwa kama hiyo ya mtume na Nabii Mwamposa??acha kujitoa akili kama wewe tu hapo kwako unahitaji pesa kuendesha familia iweje kwa ministri kama hiyo ya Mwamposa.

Acheni wivu wa kike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom