Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]akijibu na yeye ni kilema unitag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]akijibu na yeye ni kilema unitag
Kwa wingi huo, mkoa wote wa Songwe utakuwa hauna walemavu kwa Sasa.Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Haya makanisa yenu ya mazingaombwe na janjajanja hayana maajabu yoyote. Muda mwalimu mzuriWewe endelea kutokuamn
Kwahiyo wewe ambaye halaghai utaishi milele?kila mtu lazima aondoke ila anaondokaje au ameacha effects gani katika ulimwegu hili ndilo la msingi.Where is TB Joshua's Church? He has gone with it....na mengine mengi. History haina tabia ya kusema ulaghai
hujui shetani ana fake kila kitu cha kimungu na kutengeneza copy yake?. ingekuwa anahubiriwa Mungu angepewa utukufu yeye ushawahi ona hata neno linatamkwa la kwny biblia katika makongamano zaidi ya miujiza.Ila nayehubiriwa ni nani..?au yeye mwamposa ana biblia yake kutoka mbeya..??
#MaendeleoHayanaChama
chief sijawahi amini. imani ya wanabii wala mitume wa mazingaumbwe mm ni mlokole mchanga sana ila kwa uchanga wangu siwez yumbishwa kwa mafuta na vimazingaumbwe vya hapa na pale maana biblia naijua kwa kiasi chake na naisoma hayo unayoyaona anafanya huyo nabii wako mpk unamsifia ni mazingaumbwe tu.Hao manabii na mitume unao waamini walisomea chuo gani wakapata digrii ya thiologia? ?
#MaendeleoHayanaChama
Hebu tulia basi mama nyoosha maelezo vizuri. Nini kimetokea!?Jamani jamani jamani
Yule kiwete karudi na uwete wake, analalamika kichwa kinamuuma kapigwa na jua siku tat
Duuh..shida hamtaki kuchunguza mmebaki kujisemea mnayoyasikia mitaani..mwamposa hawezi anza huduma ya kuombea na uponyaji bila kufundisha neno la Mungu kupitia biblia..lazima atoe mafundisho kisha huduma ya maombezi inafuata na mara zote Hulitaja jina La Yesu kristo.hujui shetani ana fake kila kitu cha kimungu na kutengeneza copy yake?. ingekuwa anahubiriwa Mungu angepewa utukufu yeye ushawahi ona hata neno linatamkwa la kwny biblia katika makongamano zaidi ya miujiza.
Huo ni uhafidhina unaokusumbua..ruhusu akili yako kukubali vitu vipya.chief sijawahi amini. imani ya wanabii wala mitume wa mazingaumbwe mm ni mlokole mchanga sana ila kwa uchanga wangu siwez yumbishwa kwa mafuta na vimazingaumbwe vya hapa na pale maana biblia naijua kwa kiasi chake na naisoma hayo unayoyaona anafanya huyo nabii wako mpk unamsifia ni mazingaumbwe tu.
ukiijua kweli itakuweka huruu. usipende baraka zisizofwata principle wenzako wakalinda wanaopenda vitu vya bure bure na rahisi rahisi walipigwa hivi hivi.. muamini kristo, kuwa mwaminifu kwa kulisoma na kuliamini neno lake na utende kulingana na anavyokuagiza utabarikiwa tu.. baraka zitakufwata mwnyw soma
kumbu la torati 28:2
Hakuna mwanadamu anaishi milele. Haya makanisa yenu ya kupigia hela yanaisha fastaa baada ya wanaoyaanzisha kuishia. Ndio hayana systems. Ni ujanja ujanja tu.Kwahiyo wewe ambaye halaghai utaishi milele?kila mtu lazima aondoke ila anaondokaje au ameacha effects gani katika ulimwegu hili ndilo la msingi.
#MaendeleoHayanaChama
Wajinga km nyny nd mtaji wa mwamposaHuko sindio nyumban kwake ww,acha wenge
HahahahahaWajinga km nyny nd mtaji wa mwamposa
Na ukiamua kuombea watu ni lazima uwalipishe?? Mitume kama akina Yesu au Muhammad unakuta yeye mmoja anawaponya na kuwasaidia maelfu ya wafuasi wake. Mitume wa sasa yeye mmoja wafuasi wake kwa mamia eti wanamchangia na kumfanya aishi kitajiri kweli kweli..Duuh..shida hamtaki kuchunguza mmebaki kujisemea mnayoyasikia mitaani..mwamposa hawezi anza huduma ya kuombea na uponyaji bila kufundisha neno la Mungu kupitia biblia..lazima atoe mafundisho kisha huduma ya maombezi inafuata na mara zote Hulitaja jina La Yesu kristo.
Nakushauri acha kulia anza kuamini.
Na usisikie maeneo fanya utafiti.
#MaendeleoHayanaChama
Sawa yataisha ila jiulize yameacha impact gani kubwa kwa watu..jibu unalo..sasahivi mwamposa anakusanya umati kuzidi hata mikutano ya kisiasa achilia mbali makongamano ya hizo dini zenu za kihafidhina.Hakuna mwanadamu anaishi milele. Haya makanisa yenu ya kupigia hela yanaisha fastaa baada ya wanaoyaanzisha kuishia. Ndio hayana systems. Ni ujanja ujanja tu.
Uponyaji wa kiimani haendi kwa utaratibu unao taka wewe..wenye uhitaji walio naimani ndio wanaopata uponyaji.nasubiri siku aende muhimbili au ocean road akaponye japo mmoja tu
Injili haiwezi kwenda bila kuwezeshwa..unadhani ni rahisi sana kuendesha ministry kubwa kama hiyo ya mtume na Nabii Mwamposa??acha kujitoa akili kama wewe tu hapo kwako unahitaji pesa kuendesha familia iweje kwa ministri kama hiyo ya Mwamposa.Na ukiamua kuombea watu ni lazima uwalipishe?? Mitume kama akina Yesu au Muhammad unakuta yeye mmoja anawaponya na kuwasaidia maelfu ya wafuasi wake. Mitume wa sasa yeye mmoja wafuasi wake kwa mamia eti wanamchangia na kumfanya aishi kitajiri kweli kweli..