Dream Touch
Member
- Mar 26, 2023
- 25
- 46
SINA SHAKA NA UPONYAJI NA MIUJIZA YA MWAMPOSAKama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Labda swali ni jee anaponya kwa nguvu za yesu kweli au Kuna nguvu nje ya yesu??
Kwangu Mimi sina kilema nineyemfahamu aliyeponywa na MWAMPOSA ila
Nimeshuhudia ndoa iliyofungwa mwaka 2008 ikitaabika kupata mtoto Hadi mwaka 2022 wakaenda kwa MWAMPOSA Leo hii wanamtoto wa kiume.
Pia Rafiki yangu ametafuta mtoto kwa miaka 8 kwenye ndoa bila mafanikio
Mwaka 2022 alienda kwa MWAMPOSA huu ni mwezi wa pili sasa toka apate mtoto
Ninachoamini Mimi
MWAMPOSA sio tapeli, sio mwizi,sio mwigizaji. Utakachoomba utapewa
Swali jee hutenda kwa nguvu za yesu kweli???