Natufuta kazi (duka la dawa/ phamacy) Mbeya, Dodoma, Iringa na Singida

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing

Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli

Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa.

kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
 
Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing...

Ingia humo..

#MaendeleoHayanaChama
 
yoo Asantee sanaa .... πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ulipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…