Natuma salam na wewe njoo utume zako

Hahahhaha ulinipa mawazo sana ujue nilikua nasoma mara mbili mbili ila mm nimefurahi sana kupata mtu kiboko yako

Wifi wa vile ndio anakufaa wewe sio mpolempole utamsumbua mnoooo
 
Amin, amin, amin mshiki oko mkunde.
Ila siku hizi umekua adimu zaidi ya machozi ya simba.
Karibu tumalizie miguu na vichwa vya mbuzi vilivyobaki.
Happy new year na kwako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaha ulinipa mawazo sana ujue nilikua nasoma mara mbili mbili ila mm nimefurahi sana kupata mtu kiboko yako

Wifi wa vile ndio anakufaa wewe sio mpolempole utamsumbua mnoooo
Kweli Mungu anapokwambia atakuletea wakufanana na wewe huwa anamaanisha kweli aiseee.. [emoji3][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin, amin, amin mshiki oko mkunde.
Ila siku hizi umekua adimu zaidi ya machozi ya simba.
Karibu tumalizie miguu na vichwa vya mbuzi vilivyobaki.
Happy new year na kwako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kabisa kakaoko mkunde, kyalema msacha oko

asante ila hiyo subu ya fichwa vya mbusi usimalize naja faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…