Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka yako? Yupi huyo?[emoji848]
Hapa jibu ni la muhimu sana
Cc jje's
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka yako? Yupi huyo?[emoji848]
naona kaka ukikwepa hapa, bora ninyamaze[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa jibu ni la muhimu sana
Cc jje's
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni bhana maigizo, labda huyu uncle amewafanya mchanganyikiwe wote, wewe na my kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka yako? Yupi huyo?[emoji848]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]naona kaka ukikwepa hapa, bora ninyamaze
saweni tu maana mnanitenga hapa eti hamuelewi
ndo maana sielewi elewi mimi
teh teh
😛😛😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa jibu ni la muhimu sana
Cc jje's
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli sikuelewi unazungumzia kaka yako yupi, maana nakumbuka enzi zangu nilikusihi sana uniunganishie kwa kaka yako ukanitolea nje eti 'keshanganengo'acheni bhana maigizo, labda huyu uncle amewafanya mchanganyikiwe wote, wewe na my kaka
Nimeacha bro
Thenkyu Douta..Nimemuona Benny..Nimekumbuka posa yake nilivyoitafunaLove you more pops. Happy New year
uwiiiii nilifikisha my wifiKiukweli sikuelewi unazungumzia kaka yako yupi, maana nakumbuka enzi zangu nilikusihi sana uniunganishie kwa kaka yako ukanitolea nje eti 'keshanganengo'
Nikakupa barua umpelekee ukaichana kabla haijamfikia....
Nikaona isiwe tabu ngoja niachane na wachaga nirudi zangu kwa wazaramo wenzangu. Sasa nashangaa unavyoniita wifi leo![emoji1745][emoji1745][emoji1745]
nipo umenitenga
Bado kuna vitu sijavijua ujue...!Teh teh..Sio kwa kuchunguzana uko..Nahisi sasa utakuwa unachunguza vitu vya ndani kama utumbo maini,figo n.k.Mana nje utakuwa umemaliza..Btw..Ahsante kwa wishes
nipo umenitenga
Heri ya mwaka mupya.
Ile inshu ni soon very sooon. Anza kujiandaa kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi inawezekana kakako hakunipenda[emoji134]uwiiiii nilifikisha my wifi
duuuh huyu kaka simuelewi...kumbe hakurudisha majibu?
Cc. Nleterewa Nganengo
Pamoja mnoo. Sema ufanye kunitext maaana kitochi changu cha mwanzo kilipoteza uhai.Heri iwe kwetu sote my blood brother
huhuhuuuuuu poa sana, unanijua vile mie ni mjeshi niko tayari wakati wote
Daddy utafungwa oohThenkyu Douta..Nimemuona Benny..Nimekumbuka posa yake nilivyoitafuna
Aisee, kumbe barua ilichanwa kweli? (Mshiki hawezi kunifanyia ivyo kwakweli)Kiukweli sikuelewi unazungumzia kaka yako yupi, maana nakumbuka enzi zangu nilikusihi sana uniunganishie kwa kaka yako ukanitolea nje eti 'keshanganengo'
Nikakupa barua umpelekee ukaichana kabla haijamfikia....
Nikaona isiwe tabu ngoja niachane na wachaga nirudi zangu kwa wazaramo wenzangu. Sasa nashangaa unavyoniita wifi leo![emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Aisee, naona sasa mmeamua kunigeuzia kibao.[emoji40]uwiiiii nilifikisha my wifi
duuuh huyu kaka simuelewi...kumbe hakurudisha majibu?
Cc. Nleterewa Nganengo