Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Hahahhaha ulinipa mawazo sana ujue nilikua nasoma mara mbili mbili ila mm nimefurahi sana kupata mtu kiboko yako

Wifi wa vile ndio anakufaa wewe sio mpolempole utamsumbua mnoooo
Noma Mimi kaka enu kujitosa pale Hahaha ilikubidi tu, Halaf kikubwa Zaid na akili zake uliziona.. Noma mimi[emoji23][emoji23] sema itakua ulinifikira Sana ikabidi ukubaliane nalo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,

Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,

Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....

ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
Amin, amin, amin mshiki oko mkunde.
Ila siku hizi umekua adimu zaidi ya machozi ya simba.
Karibu tumalizie miguu na vichwa vya mbuzi vilivyobaki.
Happy new year na kwako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaha ulinipa mawazo sana ujue nilikua nasoma mara mbili mbili ila mm nimefurahi sana kupata mtu kiboko yako

Wifi wa vile ndio anakufaa wewe sio mpolempole utamsumbua mnoooo
Kweli Mungu anapokwambia atakuletea wakufanana na wewe huwa anamaanisha kweli aiseee.. [emoji3][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin, amin, amin mshiki oko mkunde.
Ila siku hizi umekua adimu zaidi ya machozi ya simba.
Karibu tumalizie miguu na vichwa vya mbuzi vilivyobaki.
Happy new year na kwako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kabisa kakaoko mkunde, kyalema msacha oko

asante ila hiyo subu ya fichwa vya mbusi usimalize naja faster
 
Back
Top Bottom