Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Jamani jamani linii nimeanza uchochezi mie
Hahaha hahaha hahaha
Naona mnafanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahaha
Naona mnafanana
Noma Mimi kaka enu kujitosa pale Hahaha ilikubidi tu, Halaf kikubwa Zaid na akili zake uliziona.. Noma mimi[emoji23][emoji23] sema itakua ulinifikira Sana ikabidi ukubaliane nalo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sielewi
Amin, amin, amin mshiki oko mkunde.Heri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,
Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,
Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....
ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
Kweli Mungu anapokwambia atakuletea wakufanana na wewe huwa anamaanisha kweli aiseee.. [emoji3][emoji3][emoji23]Hahahhaha ulinipa mawazo sana ujue nilikua nasoma mara mbili mbili ila mm nimefurahi sana kupata mtu kiboko yako
Wifi wa vile ndio anakufaa wewe sio mpolempole utamsumbua mnoooo
Unasahau mapema eeehJamani jamani linii nimeanza uchochezi mie
Sawa kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Acha kabisa huyo wifi mwenyewe ni pasua
KhaaaaEbu ngoja nianze kuhesabu sasa
acha kabisa kakaoko mkunde, kyalema msacha okoAmin, amin, amin mshiki oko mkunde.
Ila siku hizi umekua adimu zaidi ya machozi ya simba.
Karibu tumalizie miguu na vichwa vya mbuzi vilivyobaki.
Happy new year na kwako pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nki kyalema tse mshiki?acha kabisa kakaoko mkunde, kyalema msacha oko
asante ila hiyo subu ya fichwa vya mbusi usimalize naja faster
hahahahah ukuje mjini mimi nilishawahi siti za mbele tangia janaNki kyalema tse mshiki?
Hahaha hilo neno "subu" saivi limeshanikaa kabisa, itabidi niondoke huku haraka, la sivyo hata kiswahili ntakisahau.
Karibu sana mshiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Unasahau mapema eeeh
Hahaha eleri tsi sio poa kabisa, huo saivi umekua wimbo wa taifa kabisa.hahahahah ukuje mjini mimi nilishawahi siti za mbele tangia jana
Nki kyalema tse mshiki?... eleri msacha oko mcha.
Kweli Mungu anapokwambia atakuletea wakufanana na wewe huwa anamaanisha kweli aiseee.. [emoji3][emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
haswaaa my kaka, mbona Thad na wewe siwaelewi elewi?Hahaha eleri tsi sio poa kabisa, huo saivi umekua wimbo wa taifa kabisa.
Mjini kuwahi muhimu, tukanyooshe na nguo za hawa malaika wasije wakaaibika shuleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tumefanyaje tena mshiki?haswaaa my kaka, mbona Thad na wewe siwaelewi elewi?
Cc Thad kuna swali huku.haswaaa my kaka, mbona Thad na wewe siwaelewi elewi?