Natuma salam na wewe njoo utume zako

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa jibu ni la muhimu sana

Cc jje's

Sent using Jamii Forums mobile app
acheni bhana maigizo, labda huyu uncle amewafanya mchanganyikiwe wote, wewe na my kaka
Kiukweli sikuelewi unazungumzia kaka yako yupi, maana nakumbuka enzi zangu nilikusihi sana uniunganishie kwa kaka yako ukanitolea nje eti 'keshanganengo'
Nikakupa barua umpelekee ukaichana kabla haijamfikia....

Nikaona isiwe tabu ngoja niachane na wachaga nirudi zangu kwa wazaramo wenzangu. Sasa nashangaa unavyoniita wifi leo![emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
uwiiiii nilifikisha my wifi

duuuh huyu kaka simuelewi...kumbe hakurudisha majibu?

Cc. Nleterewa Nganengo
 
Si ni bado tunachunguzana shemeji?
Hahahhaah happy new year Kaboom
Teh teh..Sio kwa kuchunguzana uko..Nahisi sasa utakuwa unachunguza vitu vya ndani kama utumbo maini,figo n.k.Mana nje utakuwa umemaliza..Btw..Ahsante kwa wishes
 
Aisee, kumbe barua ilichanwa kweli? (Mshiki hawezi kunifanyia ivyo kwakweli)
Hebu haya mambo mjadili sirini, ili mnitoe kwenye hiki kizungumkuti.

Cc jje's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…