Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi inawezekana kakako hakunipenda[emoji134]
Ila kwakuwa udugu ni hazina yetu basi tuachane na u-wifi ubaki urafiki wetu[emoji8]
😂😂😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nacheka ila roho inaniuma wallah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roho inakuuma kwa lipi? Kwa kuwa kaka yake mshiki wako hakunipenda/ kuvunjika kwa uwifi wangu na mshiki wako au kuamua kwangu kuwa rafiki wa mshiki wako?[emoji848]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahahah ujibu bhana hii mambo
Ukisikia majanga ndo hayo yaani kucheza wacheze wao, kufungwa wafungwe wao ila roho ikuume wewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Roho inaniuma kwa Liverpool kufungwa na Mansh*t[emoji24]
😂😂😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo gani tena hayo mshiki?
Hivi hizo tuhuma za kuchana barua ya msacha wako zina ukweli wowote?
Aisee, we ajuza una roho nzuri sana (kinyume chake), hivi kuna roho isiyouma ikiumizwa?Ukisikia majanga ndo hayo yaani kucheza wacheze wao, kufungwa wafungwe wao ila roho ikuume wewe?
Chagua jibu sahihi kati ya matatu yale acha kuruka kiunzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawachora tu mnavyopigana danadana kuhusu barua. Kama kweli mmoja wenu hakuichana basi mnirudishie ili nimtumie mzaramo wangu[emoji852]️
Ila nashukuru kwa kuniongezea msamiati wa kichaga *msacha*
Cc jje's
😂😂😂😂Aisee, we ajuza una roho nzuri sana (kinyume chake), hivi kuna roho isiyouma ikiumizwa?
Anyway machaguo yote A, B, C, na D ni sahihi.
[emoji57] [emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kweli roho imekuuma fanya fanya kama unajikuna unitumie mbege ninywe na mzaramo wangu (si unajifanya una roho nzuri)
Hahahahaaaa mlichana OG, mtasoma kopi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu nitumie uthibitisho wa angalau kopi yake, maana naona umeamua kurudia ile kazi yako ya uchonganishi[emoji57]
Wakumtumikia Bwana uwe wewe? Hebu nipishe huko na roho yako mbaya kuliko ya mjukuu wake shetani[emoji57] [emoji57]
Imeandikwa ole wake yeye ampaye mwenzake kileo, naam mimi na nyumba yangu tumechagua kumtumikia Bwana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaaa mlichana OG, mtasoma kopi?
Shahidi namba moja upande wa mashtaka ni mshiki wako aliyekiri kuipokea barua na kukuletea ila mkaichana pasi na huruma[emoji852]️
Aisee, hivi kuna mjukuu wa Mungu mwenye maneno makali namna hii?Wakumtumikia Bwana uwe wewe? Hebu nipishe huko na roho yako mbaya kuliko ya mjukuu wake shetani
Ni heri hata ingekuwa na hela ningekuwa nimetoa sadaka...ilikuwa na maneno yote matamu ya upendo wa agape kiasi kwamba sikubakiwa na hata akiba ya neno moja la kumwambia mzaramo wangu☹️[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hizi sarakasi inaonesha kabisa kuna dalili za kufarakanisha ndugu.
Hivi hiyo barua ilikua na shilingi ngapi?[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni heri hata ingekuwa na hela ningekuwa nimetoa sadaka...ilikuwa na maneno yote matamu ya upendo wa agape kiasi kwamba sikubakiwa na hata akiba ya neno moja la kumwambia mzaramo wangu[emoji852]️
Ndio maana roho inaniuma sana kwa mlichonifanyia, basi nirudishieni japo majivu ya barua yangu ili nafsi yangu itulie kidogo
nilifikisha bhana acha hizo, nachanaje na wewe ulipokea mwenyewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo gani tena hayo mshiki?
Hivi hizo tuhuma za kuchana barua ya msacha wako zina ukweli wowote?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nilifikisha bhana acha hizo, nachanaje na wewe ulipokea mwenyewe?
au siku ile balimi zilikuwepo kichwani
teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23]nilifikisha bhana acha hizo, nachanaje na wewe ulipokea mwenyewe?
au siku ile balimi zilikuwepo kichwani
teh teh