Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbona nipo sema nilikua kwenye I'd nyingine.. [emoji23][emoji23] kiddn.. Heri ya mwaka Mpya wadogo zangu warembo Shunie Shadeeya Sakayo mtundu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Kuna mahali nakukutaga na hii ID napita kimya kimya tuu....
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuuona salama.

Na mimi sijamuona ujue toka mwaka jana. [emoji12][emoji12][emoji12]
Kaka yenu ana makubwa yake nimemkuta sehemu anabebishwa nikatambulishwa wifi
 
Kaka yenu ana makubwa yake nimemkuta sehemu anabebishwa nikatambulishwa wifi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mumwelewe tu
Bichwa gani hilo
Hivi inaweza kua Ni bichwa lile korofi? Ikibainika mtatafuta kaka mwingine. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mchochezi wewe unataka watu wapigane
Waliamua wenyewe basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samboko hivi Hajar yupo wapi?? Happy new year to you brother.

Kiongozi Mr Miller salam nyingi kwako

Mkuu wa mashemeji espy heri ya mwaka mpya.

Sakayo my sister Mzigua90 api neu yea

dark angel
My sister Khantwe

Class mate Daby happy new year

My blood jje's ur missed soo

Mzee kijana Asprin na mtaalam wangu Sky Eclat
MO11 thanks kwa kuanzisha uzi huu. Ila its enough uache kumchezea dadashemej espy

My best Shunie much love to you.

Madame S

Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani sana chief
Happy new year.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana MO11 ila kwa mwendo huu wa 9/10 acha tu nami nikupange.

Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie wapendwa wangu jje's na Neybright
UJUMBE: Nawatakia heri na fanaka katika mwaka 2019
jaman bby wangu how lovely kunikumbuka, nakupenda sana wifi yangu mpendwa

hata kaka akikuzingua naenda na wewe pale kinuka mori tukirudi jioni stress zishaisha.

Nakupenda sana jaman.
 
Heri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,

Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,

Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....

ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
 
Happy new year dadake mimi
Missed you!
 
Back
Top Bottom