Natumia Biblia kutatua changamoto

JIkite kwenye dini yako ya uislamu
Kila mtu atabeba msalaba wake
Dini yangu inaniambia nisiufiche ukweli kwa watu . Niueleze , kukubalika au kutokubalika Si kazi yangu. Wajibu wangu nimeufanya na sina jukumu lolote kwako .
 
Dini yangu inaniambia nisiufiche ukweli kwa watu . Niueleze , kukubalika au kutokubalika Si kazi yangu. Wajibu wangu nimeufanya na sina jukumu lolote kwako .
We endelea kubaki na dini yako na unachoamini kwan umekatazwa
 
We endelea kubaki na dini yako na unachoamini kwan umekatazwa
Mbona hujiamini unarudia rudia kila mara na Mimi nimeshakumuta mikono yangu ? Au nikuletee ushahidi Zaidi kutoka biblia unaothibitisha Yesu si Mungu, Yesu hakufa wala kufufuka na uchakachuaji uliomo ndani ya biblia?
 
Mbona hujiamini unarudia rudia kila mara na Mimi nimeshakumuta mikono yangu ? Au nikuletee ushahidi Zaidi kutoka biblia unaothibitisha Yesu si Mungu, Yesu hakufa wala kufufuka na uchakachuaji uliomo ndani ya biblia?
Jikite kwenye dini kwa waislamu yesu sio Mungu ila kwa wakristo Yesu ni Mungu
Sihitaji ushahidi wako sababu kamwe huwezi nibadilisha nachoamini Yesu ni Mungu na alikufa msalabani akafufufuka

We ndo hujiamin mda wote kuangahika na dini zisizokuhusu jikite kwenye dini yako ya uislamu
Ni nadra sana kumkuta mkristo anahaingaika na dini nyingine sababu anajiamini na dini yake

Ni kawaida sana kumkuta muislamu anahangaika na dini ya ukristo sababu kubwa wana inferiority complex
 

Mkristo Hana kitabu kinachoitwa biblia , wala ukristo Si dini Sasa mbona umekasirika? Wacha kumtukana Yesu , Hakuna mahali alisema yeye ni Mungu.
Kifo cha msalaba ni laana , Mtu wa Mungu hawezi kufa kifo cha msalabani kwani biblia inasema aliyetundikwa msalabani amelaaniwa
Hivi ndivyo ninavyojikita kwenye dini , zaidi nakutayarishia maelezo ya kutosha kuhusu hizi mada mpaka uwache kuabudu binadamu aliyezaliwa kwa kutoka kwenye uchi wa mwanamke , akavalishwa Pampers
 
Yesu ni Mungu na alikufa msalabani
Nikuondoe hayo matumaini yako kwamba utanibadilisha ni ndoto za alinacha

Narudia tena ni Yesu ni Mungu na alikufa msalabani kamwe siwezi ona aibu kuliongea hili
 
Yesu ni Mungu na alikufa msalabani
Nikuondoe hayo matumaini yako kwamba utanibadilisha ni ndoto za alinacha

Narudia tena ni Yesu ni Mungu na alikufa msalabani kamwe siwezi ona aibu kuliongea hili

Mimi nakuwekea ushahidi kuwa Yesu si Mungu wewe una kiburi , unanipinga bila ushahidi , KAZI YA KUBADILISHA WATU SIO YANGU , NI mUNGU MWENYEWE,


MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]
 
Yesu ni Mungu na alikufa msalabani
 
Yesu ni Mungu, alikufa msalabani na akafufuka

Muislamu unataka uwapangie wakristo jinsi ya kuabudu mkuu maisha sio marahisi hivyo yaani umezaliwa juzi hata miaka 50 huna alafu uipangue dini ambayo inamiaka zaidi ya 2000
kwa maneno unaweza kusema utakalo lakini sio kwa maandiko maana huna, zaidi ya kupiga organ kwenye kodi feki 😛 😛
 
kwa maneno unaweza kusema utakalo lakini sio kwa maandiko maana huna, zaidi ya kupiga organ kwenye kodi feki 😛 😛
Muislamu unaetaka kupangia wakristo namna ya kuabudu hii si futuhi
Muislamu hawezi nipangia jinsi/namna ya kuabudu
 
Muislamu unaetaka kupangia wakristo namna ya kuabudu hii si futuhi
Muislamu hawezi nipangia jinsi/namna ya kuabudu

KAFARA YA YESU HAISAIDII CHOCHOTE

Wakristo wanaamini ya kwamba Adamu na Hawa walifanya dhambi kisha wazao wao wote wanarithi dhambi hiyo (dhambi ya asili).

Na Mwenyezi Mungu hawezi kuondoa adhabu ya dhambi ile bila kumwaga damu, na hakuna mtu yeyote anayeweza kuokoka bila ya kafara. Na anatolewa kafara ambaye hana dhambi yoyote. Na wakati wanadamu wote wanarithi dhambi hiyo, yeyote hawezi kutolewa kafara.

Kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu alimtoa Bwana Yesu Kristo atolewe sadaka na damu yake iwe kafara ya dhambi za watu wote.

Lengo la kutumwa kwa Yesu lilikuwa ni kuwaokoa wanadamu kwa kafara ya damu yake.

Katika kurasa zifuatazo nitachunguza na kuzipima hoja zote za Wakristo kuhusu kafara. Na itathibitika ya kwamba kafara ya Bwana Yesu haisaidii chochote.

(i) Mwenyezi Mungu ambaye ni Muumba wa ulimwengu aliye mwingi wa rehema na mwingi wa ukarimu hataki kafara ya watu kama alivyosema.

“Nataka rehema wala siyo sadaka.” (Mathayo 12:7).

Hiyo ni sababu wakati Nabii Musa alipotaka kujitoa kafara, Mwenyezi Mungu hakukubali mawazo yake.

Biblia inasema ya kuwa: “Asubuhi yake Musa akawaambia watu, mmetenda dhambi kuu. Sasa nitakwenda juu kwa Bwana, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu. Musa akarejea kwa Bwana akasema: “Aa!! watu hawa wametenda dhambi kuu, wamejifanyia mungu wa dhahabu. Walakini sasa, ikiwa utawasamehe dhambi yao na kama sivyo unifute, nakusihi, katika kitabu chako ulichokiandika. Bwana akamwambia Musa, mtu yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.” (Kutoka 32:30-33).

(ii) Ikiwa lengo lilikuwa ni kuwasamehe watu, basi watu walisamehewa kwa maombi ya Nabii Musa tu.

Wala haikuhitajika kumwagika damu ya mtu. Kama Nabii Musa mwenyewe alivyosema:

“Nikaanguka nchi mbele za Bwana siku arobaini usiku na mchana, kama pale kwanza; sikula chakula wala kunywa maji ; kwa sababu ya makosa yenu yote mliyokosa, kwa kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, kwa kumkasirisha.

Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia Bwana kutaka kuwaangamiza. Lakini Bwana alinisikiza wakati huo nao. Bwana akamkasirikia sana Haruni akataka kumwangamiza; nikamwombea Harun naye wakati huo. (Kumbukumbu la Torati 9:18- 20).

Siyo hiyo tu, bali wapo watu kadhaa wale ambao hawana dhambi bila ya kumwagwa damu ya Yesu. Kwa mfano, katika Biblia imesemwa kuwa: “Melkizedeki hana baba, hana mama, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu huyo adumu kuhani milele.” (Waebrania 7:3).

Melkizedeki aliumbwa bila ya wazazi wawili, na huyo hana dhambi aliyorithi toka kwa wazazi.

Vile vile Enoko alienda pamoja na Mungu. (Mwanzo 5:22).

Enoko akiwa pamoja na Mungu kwa kuwa hakuwa na dhambi, kwa maana mwenye dhambi hawezi kumkaribia Mungu.

Vile vile Biblia imesema kwamba Zakaria na mkewe Elizabeti hawakuwa na dhambi.

“Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria wa Zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmoja wa uzao wa Haruni, jina lake Elizabeti na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.” (Luka 1:5-6).

Kama hawa wazee wawili hawakuwa na dhambi ndivyo vivyo mtoto wao Yohana hakuwa na dhambi.

Imesemwa kuwa: “Sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana hatakunywa divai wala kileo naye atajazwa roho mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.” (Luka 1:15).

Ikiwa watu wote hawa walikuwa wema na hawakuwa na dhambi yoyote, kabla ya damu ya Yesu, sifa hizo walizipata vipi?.

(iii) Bibla inapinga na kufutilia mbali mawazo ya kuwa mtu anaweza kubeba dhambi za mtu mwingine. Kama Mwenyezi Mungu alivyosema:

(A) “Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao. Kila mtu auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.” (Kumb. 24:16).

(B) Lakini kila mtu aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si ya mwenzake.” (Wagalatia 6:4).

Wakati mtu hawezi kubeba dhambi za mtu mwingine,Wachungaji wa leo wanahubiri kinyume na fundisho hili la Biblia kwa msingi gani?

(iv) Bwana Yesu hakujua lengo la kutumwa kwake kwamba ni kutolewa sadaka au kafara, kwa sababu hiyo alikuwa na hofu ya hali ya juu ya kuuwawa kwake.

Ndiyo maana alijificha kama isemavyo Biblia:

(A) “Basi tangu siku ile walifanya shauri ya kumuwa kwahiyo Yesu hakutembea tena kwa wazi mpaka mji uitwao
Eframu akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.” (Yohana 11:53-54).

(B) Maadamu mnayo nuru iaminini nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.” (Yohana 12:36).

Mtu ambaye anasemekana kwamba alikuja kumwaga damu yake kwa ajili ya kuwaokoa watu kwa nini alijificha ficha?

Na wakati alipotakiwa kumwaga damu alipiga mayowe?

Kama tuirejeapo Biblia:

“Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema “Eloi, Eloi lamasabaktani? Yaani Mungu wangu! Mungu wangu mbona umeniacha? (Mathayo 27:46).

Kama Yesu hakutaka kumwaga damu yake kwa hiyari yake, basi hii si sadaka wala kafara, bali ni kumshinikiza.

Vilevile kama mtu anamsaidia masikini kwa hiyari yake, hii inakuwa ni sadaka, na kama ataporwa na masikini
hiyo haitaitwa sadaka, bali hii itaitwa ni wizi au ujambazi.
 
Damu ya Yesu sisi wakristo inatusaidia ila waislamu hawasaidii
 
Damu ya Yesu sisi wakristo inatusaidia ila waislamu hawasaidii


Yesu mbona amekataa huku , unamlazimisha ??


Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9

Tukiyachungua vilivyo maneno ya Yesu kama yalivyosimuliwa na Mathayo na Marko ya kuwa yeye alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili, na maamrisho yake yalio wazi kuwapa "mitume" wake wasende kwenye mataifa mengine isipokuwa Mayahudi tu, na kuwa yeye na wanafunzi wake kumi na mbili watakaa katika viti vyao vya utukufu wakizihukumu kabila kumi na mbili za Israili katika ulimwengu mpya wa mbinguni, hatuwezi ila kuhukumu kuwa hao watu anaowaombea Yesu ni hao hao waliokwisha tajwa kabla, yaani wana wa Israili, sio ulimwengu, sio mimi na wewe.

Mimi na wewe si Wana wa Israili.

Mimi na wewe ni mataifa mengine.

Mimi na wewe na ulimwengu, usiokuwa wa Kiyahudi, Yesu kesha sema hatuombei, ikiwa tutakubali maneno yaliyoandikwa katika Injili zote.
 
We ndo unayelazimisha kwanini usiheshimu misimamo ya watu wengine

Yesu ni Mungu na alikufa msalabani na damu yake tunaitumia hata sahivi nimetoka kuitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…