Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 39
- 136
Habari
Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>>
Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog.
Binafsi natumia njiaa kuu mbili kupata views kwenye blog yangu.
1. Natumia Magroup ya WhatsApp>.
Huwa Na-share Links za posts zangu kwenye Magroup ya WhatsApp>>
2. Natumia Google search
Hapa ndo napata Watembeleaji wengi kila siku kwenye blog yangu
Jinsi ninavyofanya kupata Views kutoka Google
1. Natafuta Idea ya Post. Mfano nimepata idea kuhusu Sportpesa app
2. Naingia google kusachi idea yangu Ili kuangalia posts zilizoandikwa kuhusu idea yangu.
3. Baada ya kusachi Huwa nashuka chini kuangalia kwenye REALATED SEARCH
4. Nikishaona hizo related search naingia Google Ads kuangalia idadi ya watu wanao search hayo maneno google
5. Baada ya kujua kila search na idadi ya watu wanaosachi Huwa nachagua Maneno yanayosachiwa na idadi ya wastani Ili kuepuka Ushindani na Blog zingine zenye Nguvu.
Mfano hapo nitachagua SPORTPESA APP DOWNLOAD na sitachagua SPORTPESA APP kwasababu ya ushindani.
6. Baada ya hapo naingia kwenye dashboard ya blog yangu na kuandika post. TITLE ya Post yangu naandika SPORTPESA APP DOWNLOAD kama ilivyo. Naweza kuongezea baadhi ya mbwembwe mfano Sportpesa app download Tz 2022 (LatestVersion)
Kifuatacho hapo kwa siku napata watu 50 Hadi 100 kutoka Google
Hiyo ni post moja, mfano chukulia Blog yangu Ina posts zaidi ya 100 kwa siku napata watu wangapi.
Tazama hapo kwa siku napata Hadi Clicks 1000+ kutoka Google.
Kama umependezwa na Uzi huu Asante sana.
Mawasiliano yangu haya hapa